Magufuli kuombewa Uingereza
Rais John Pombe Magufuli.
Na Gabriel Ng’osha
KASI ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ inazidi kuwashangaza wengi ambapo wachungaji wa Kanisa la Calvary Charismatic Baptist Church Swahili Service la jijini London, Uingereza wameamua kumfanyia maombi maalumu Jumatatu ijayo.
Maombi hayo yamepangwa kufanyika katika kanisa hilo lililopo 119 East India, Dock Road Poplar London EI46DE, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini humo, Msafiri Marwa na yataongozwa na kiongozi...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HiEYkhZdGKP1RM8lp7CI4yLA5*uGrV2VhvvKZJ1j7NDL6E0vLkyZSgo-fFidWQs7eOclJb5gf1xbjcbF3WHmNA7/WEMASEPETA_GLOBALNEWSROOM18.jpg?width=650)
WEMA ANAHITAJI KUOMBEWA
10 years ago
Habarileo21 Aug
Harambee kuombewa kibali Ikulu
MAPENDEKEZO ya Sheria mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi, miongoni mwa viongozi wa umma, yanatarajiwa kudhibiti viongozi wa umma kushiriki au kuendesha harambee na kutoa zawadi kubwa kubwa.
9 years ago
Habarileo17 Nov
Samia ataka nchi kuzidi kuombewa
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri mkubwa unaoangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali hivyo kuwaomba viongozi wa dini kuwaombea ili wapate viongozi watakaouangalia utajiri wa Tanzania kwa ajili ya Watanzania wenyewe.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BUQRic4a_3s/VoBPDtylgCI/AAAAAAAIO9Q/d1NSr4Z9_VQ/s72-c/5756a1ac-4bb3-4135-b626-84003aa2fca3.jpg)
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Ibaada ya Kumuombea Rais Magufuli yafanyika London, Uingereza
Picha maalumu ya rais Magufuli (chini) ni sehemu ya wanakwaya.
Askofu mkuu wa kanisa la CCBC, Dk. Sarpong kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada hiyo.
Mgeni rasmi Naibu Balozi , Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani kwa waandaaji na wahudhuriaji.
Baadhi ya Watanzania, wahamasishaji wakiwa na bendela ya Tanzania.
Sehemu ya wahudhuriaji.
HAPA KAZI TU! Waafrika waishio jijini London, Uingereza, Desemba, 28 mwaka huu walifanya maombi maalumu ya kumuombea Rais wa Awamu ya Tano wa...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli kufanyika leo nchini Uingereza!!
Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Msafiri Marwa anatarajiwa kuwa mgeni rsmi katika maombi maalum ya kumuombea Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli maombi yanayotarajiwa kufanyika leo nchini Uingereza. Maombi hayo yataendeshwa na Bishop Francis Sarpong, Pastor Mkuu wa Swahili Bob Baraka na wengineo.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J4rW54EsyWA/VknHYluJalI/AAAAAAAIGNo/kVV72uZL9fk/s72-c/New%2BPicture.png)
MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA ATUMA SALAMU ZA PONGEZA KWA RAIS JOHN POMBE JOSEF MAGUFULI
![](http://1.bp.blogspot.com/-J4rW54EsyWA/VknHYluJalI/AAAAAAAIGNo/kVV72uZL9fk/s1600/New%2BPicture.png)
SALAMU ZA PONGEZI RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amepokea salamu za pongezi kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika salamu hizo Malkia wa Uingereza amemueleza Mhe. Rais Dkt. Magufuli kuwa “Natumaini kuwa mahusiano baina ya nchi hizi mbili ambazo ni...