TAHA YAADHIMISHA SIKU YA WAKULIMA SHAMBANI KILIMANJARO
Asasi ya sekta binafsi ya wakulima wa mboga mboga,Matunda, maua, viungo na mbegu zake imeadhimisha siku ya wakulima shambani kwa wakulima wa kijiji cha Mferejini-Machame katika wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro. Maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila baada ya Mwezi mmoja mpaka miwili ili kutoa fursa kwa wananchi kujifunza mbinu bora za kilimo cha mazao ya ‘horticulture’ ikiwa ni sambamba na kujifunza mbinu fasaha za kilimo biashara.
Afisa ufundi wa kilimo cha mboga kutoka TAHA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wakulima wasinyang’anywe ardhi — TAHA
OFISA Mtendaji wa Chama cha Wakulima wa Mbogamboga na Maua Tanzania (TAHA), Jacqueline Mkindi, amewataka viongozi wa serikali kukomesha tabia ya wananchi kunyang’anywa ardhi ya kijiji ambayo hutumiwa kwa kilimo...
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
Wakulima Mbeya waneemeka na elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka TAHA
Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa Masoko.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya.
Aina Mbalimbali za matunda ambazo zimezalishwa na wakulima kutokana na elimu Bora waliyo ipata...
11 years ago
MichuziWakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
11 years ago
GPLWAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO
11 years ago
Habarileo21 Jul
Iringa yaadhimisha Siku ya Mkwawa
KWA mara ya kwanza Mkoa wa Iringa umeadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Chifu wa Wahehe, Mtwa Mkwawa tangu afariki kwa kujiua mwenyewe miaka 116 iliyopita.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Dunia yaadhimisha Siku ya Mandela
KATIKA kutambua na kukumbuka mchango wa aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, dunia imeadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Katika...
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Tanzania yaadhimisha siku ya saratani
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vn4ogTail70/UvJ4M8m5c8I/AAAAAAAFLBg/aXxSbqv4inM/s72-c/unnamed+(37).jpg)
ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KANSA DUNIANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vn4ogTail70/UvJ4M8m5c8I/AAAAAAAFLBg/aXxSbqv4inM/s1600/unnamed+(37).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-xY8PCJvKbus/UvJ4NkAABxI/AAAAAAAFLBs/ZT3_wCysK2M/s1600/unnamed+(38).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cBtij3tRcDg/UvJ4Np-38TI/AAAAAAAFLBk/T67txJl697U/s1600/unnamed+(39).jpg)