Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wasinyang’anywe ardhi — TAHA

OFISA Mtendaji wa Chama cha Wakulima wa Mbogamboga na Maua Tanzania (TAHA), Jacqueline Mkindi, amewataka viongozi wa serikali kukomesha tabia ya wananchi kunyang’anywa  ardhi ya kijiji ambayo hutumiwa kwa kilimo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Moro wataka vigogo wanyang’anywe ardhi

DIWANI wa Mafisa, Manispaa ya Morogoro, Francis Kayenzi, amelaumiwa kutokana na hatua ya vigogo serikalini kuchukua viwanja na kuvitelekeza katika kata yake. Wananchi wa kata hiyo, wamemtaka diwani huyo kuhakikisha...

 

10 years ago

Michuzi

TAHA YAADHIMISHA SIKU YA WAKULIMA SHAMBANI KILIMANJARO

Asasi ya sekta binafsi ya wakulima wa mboga mboga,Matunda, maua, viungo na mbegu zake imeadhimisha siku ya wakulima shambani kwa wakulima wa kijiji cha Mferejini-Machame katika  wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro. Maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila baada ya Mwezi mmoja mpaka miwili ili kutoa fursa kwa wananchi kujifunza mbinu bora za kilimo cha mazao ya ‘horticulture’ ikiwa ni sambamba na kujifunza mbinu fasaha za kilimo biashara.picha 1Afisa ufundi wa kilimo cha mboga kutoka TAHA...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakulima Mbeya waneemeka na elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa Masoko.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya

Mkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya.

Elimu ikiendelea kutolewa. Vitali na green houses.

Aina Mbalimbali za matunda ambazo zimezalishwa na wakulima kutokana na elimu Bora waliyo ipata...

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

WAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA‏

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taa rifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA…

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua

PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria za ardhi kikwazo kwa wakulima

Wakulima wadogo wilayani Kilosa wameonekana kukosa ufahamu wa sheria za ardhi, jambo linalowafanya kushindwa kufuatilia kwa makini masuala ya ardhi pale inapotokea migogoro katika maeneo yao.

 

9 years ago

StarTV

Mgogoro Wa Ardhi Wafugaji  na wakulima wavutana Mkoani Morogoro

 

Hali ya taharuki imezuka katika kijiji cha maharaka kata ya doma wilaya ya Mvomero mkoani morogoro baada ya wananchi wa humo kukusanyika katika  ofisi ya kijiji kushinikiza kupatiwa ufumbuzi  juu ya wafugaji walio ingia kwenye mashamba yao nakuwatia hasara kubwa kwa kuharibu miundombinu ya umwagiliaji iliyopo kwenye mashamba hayo

Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya kijijini hicho, wananchi hao wamesema wameshangaa kuona wafugaji kijijini hapo wakidai wanatafuta mifugo yao, ambapo wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani