Sheria za ardhi kikwazo kwa wakulima
Wakulima wadogo wilayani Kilosa wameonekana kukosa ufahamu wa sheria za ardhi, jambo linalowafanya kushindwa kufuatilia kwa makini masuala ya ardhi pale inapotokea migogoro katika maeneo yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 May
Wizara ya Ardhi ni kikwazo kwa maendeleo ya wanyonge nchini
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Zitungwe sheria kali kwa wapora ardhi
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Jinsi ya kurithi ardhi kwa kutumia sheria
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
9 years ago
Mwananchi20 Aug
‘Sheria ni kikwazo cha malengo EAC’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dI8dRi3oSbQ/VUcHkXf_ccI/AAAAAAAHVDg/g-SwY-wiAWk/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: UWEZEKANO WA KUMSHTAKI KWA JINAI ALIYEVAMIA ARDHI YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-dI8dRi3oSbQ/VUcHkXf_ccI/AAAAAAAHVDg/g-SwY-wiAWk/s1600/law_5.jpg)
Katika migogoro ya ardhi yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki. Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi. Mara nyingi imekuwa ikitokea pale ambapo mtu fulani ana mgogoro wa ardhi na mtu mwingine kumwendea polisi na kumshitaki kwa jinai ya kuvamia ardhi yake( criminal trespass). Ni kweli jambo hili lipo...
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Sera, sheria dhaifu, rushwa ni kikwazo katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini
Mtumiaji wa kujinduga akitumia dawa hizo.
Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakihudhuria moja semina zinazoendeshwa nchini.
Na Damas Makangale, Makangale Satellite Blog
“Kila mwaka idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini hasa kwa vijana wenye umri mdogo kabisa kati ya miaka 15 mpaka 25 inakadiliwa kufika 10,000 hadi 11,000 kila mwaka nchini ni idadi kubwa na hali inatisha,’ anasema Afisa kutoka Kitengo cha Kudhibiti dawa za kulevya nchini, Moza Makumbuli
Wiki iliyopita Kitengo...
11 years ago
Habarileo10 May
Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua
PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wakulima wasinyang’anywe ardhi — TAHA
OFISA Mtendaji wa Chama cha Wakulima wa Mbogamboga na Maua Tanzania (TAHA), Jacqueline Mkindi, amewataka viongozi wa serikali kukomesha tabia ya wananchi kunyang’anywa ardhi ya kijiji ambayo hutumiwa kwa kilimo...