Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Takbir’ yasimamisha shughuli za mahakama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ililazimika kusimama kwa muda kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamuhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sudan yasimamisha shughuli za misaada

Wakuu wa Sudan waliarifu Shirika la Mataifa la Msalaba Mwekundu, ICRC, kusimamisha shughuli za misaada nchini humo

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake

Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MSAJILI WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA ILIYORITHI SHUGHULI ZA ICTR

Bw. John Hocking Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa (United Nations Mechanism for International Criminal Tribunals), iliyorithi shughuli za iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR).akimuonesha Mhe. Membe Ramani ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama hiyo itakayojengwa katika eneo la Lakilaki Jijini Arusha.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Bw. John Hocking...

 

9 years ago

Mtanzania

Basi la Takbir laua watu 12

PgNA SEIF TAKAZA,  IRAMBA

WATU 12  wamefariki dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa, baada ya basi la Kampuni ya Takbir kugongana na lori la mafuta katika Kijiji cha Kizonzo, Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Ajali hiyo ilitokea katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Mwanza.

Kamanda wa Polisi  Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka, aliwaambia waandishi wa habari jana  kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa 1.30 usiku  wakati basi hilo lilipokuwa  likitoka Dar es Salaam kwenda Geita.

Alisema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mvua yasimamisha mechi za US Open

Michuano ya US Open kwa upande wa kinadada imesimamishwa kwa muda baada ya mvua kali kunyesha hali iliyosababisha ugumu wa mchezo huo.

 

9 years ago

StarTV

Migodi 12 yasimamisha uchimbaji Mererani

Jumuiya ya Wachimbaji wadogo katika Migodi ya Mererani eneo maarufu kwa uchimbaji wa Madini ya Tanzanite imesimamisha shughuli za uchimbaji kutokana na migogoro kati yao na Mwekezaji wa kampuni ya Tanzanite One ambaye ni mwekezaji mkubwa zaidi kwenye eneo hilo.

Matukio ya mwingiliano wa ndani ya migodi maarufu kama “MTOBOZANO” katika eneo la Mererani yamekuwa yakiibua mivutano na athari za aina mbalimbali kwa wachimbaji wa pande zote.

Wachimbaji hao wamelalamikia kampuni ya Tanzanite One...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea yasimamisha safari kuingia Kenya

Shirika la ndege la Korea lasimamisha safari za ndege kuingia Nairobi Kenya ikihofia kuenea Ebola

 

10 years ago

Habarileo

Stanbic Uganda yasimamisha watumishi wake

BENKI ya Stanbic nchini Uganda imewasimamisha kazi watumishi wake wanne wakihusishwa na udanganyifu wa kimtandao ambao uliifanya benki hiyo kuibiwa dola za Marekani 317,000 zilizotolewa kwa watu wanane ndani ya siku nne.

 

9 years ago

StarTV

Polisi yasimamisha mikusanyiko mpaka baada ya uchaguzi

Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikusanyiko yote baada ya kuhitimishwa kwa kampeni za wagombea wa Urais, Wabunge na Madiwani Octoba 24 mpaka matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa .

Akizungumza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu amesema kutokana na uzoefu wa kipindi cha kampeni uwepo wa mikusanyiko ya watu wenye itikadi moja husababisha vurugu.

IGP Mangu amesema ni vyema wananchi wakajiepusha na vitendo vyovyote vya uchokozi kwa kuwa Jeshi la Polisi halitasita kuchukua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani