Migodi 12 yasimamisha uchimbaji Mererani
Jumuiya ya Wachimbaji wadogo katika Migodi ya Mererani eneo maarufu kwa uchimbaji wa Madini ya Tanzanite imesimamisha shughuli za uchimbaji kutokana na migogoro kati yao na Mwekezaji wa kampuni ya Tanzanite One ambaye ni mwekezaji mkubwa zaidi kwenye eneo hilo.
Matukio ya mwingiliano wa ndani ya migodi maarufu kama “MTOBOZANO” katika eneo la Mererani yamekuwa yakiibua mivutano na athari za aina mbalimbali kwa wachimbaji wa pande zote.
Wachimbaji hao wamelalamikia kampuni ya Tanzanite One...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sheria ya madini ‘yasitisha’ uchimbaji migodi zaidi ya 400 Mirerani
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Kinana ashuhudia mchimbaji mdogo wa Tanzanite anavyosaidia wenzake kwa kuwauzia kwa bei nafuu vifaa vya uchimbaji madini Mererani
Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
‘Takbir’ yasimamisha shughuli za mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ililazimika kusimama kwa muda kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamuhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mvua yasimamisha mechi za US Open
11 years ago
BBCSwahili01 Feb
Sudan yasimamisha shughuli za misaada
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
10 years ago
Habarileo01 Dec
Stanbic Uganda yasimamisha watumishi wake
BENKI ya Stanbic nchini Uganda imewasimamisha kazi watumishi wake wanne wakihusishwa na udanganyifu wa kimtandao ambao uliifanya benki hiyo kuibiwa dola za Marekani 317,000 zilizotolewa kwa watu wanane ndani ya siku nne.
9 years ago
StarTV23 Oct
Polisi yasimamisha mikusanyiko mpaka baada ya uchaguzi
Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikusanyiko yote baada ya kuhitimishwa kwa kampeni za wagombea wa Urais, Wabunge na Madiwani Octoba 24 mpaka matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa .
Akizungumza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu amesema kutokana na uzoefu wa kipindi cha kampeni uwepo wa mikusanyiko ya watu wenye itikadi moja husababisha vurugu.
IGP Mangu amesema ni vyema wananchi wakajiepusha na vitendo vyovyote vya uchokozi kwa kuwa Jeshi la Polisi halitasita kuchukua...
5 years ago
MichuziPSPTB YASIMAMISHA UTOAJI WA MAFUNZO ILI KUEPUKANA NA CORONA
BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imesitisha utoaji wa mafunzo yaliyopanga kufanyika kuanzia Machi 18 mwaka huu na kuwataka wadau kusubiri hadi pale itakavyopangwa tena.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bi Shamim Mdee, Afisa mwandamizi masoko na uhusiano kwa umma wa Bodi hiyo imeelezwa kuwa kusitishwa kwa mafunzo hayo kumetokana na tamko rasmi la Serikali kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzuia uwepo wa mikusanyiko ya watu katika maeneo mbalimbali nchini na hiyo ni mara...