Taliban waanzisha mapigano Afghanistan
Serikali ya Afghanistan imesema mamia ya wapiganaji wa Taliban wamevamia na kuanzisha mapigano nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Taliban wakamata wanajeshi - Afghanistan
Kikosi kidogo cha majeshi ya serikali ya Afghanistan kimeripotiwa kushikiliwa katika kambi ya kijeshi kusini mwa nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Afghanistan yazungumza rasmi na Taliban
Ujumbe wa kwanza rasmi wa serikali ya Afghanistan unasema mazungumzo hayo yamefanikiwa, na awamu nyengine itafanyika hivi karibuni
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Taliban wavamia uwanja wa ndege Afghanistan
Wapiganaji wa kundi la Taleban nchini Afghanistan wametangaza kuushambulia uwanja wa ndege wa Kandahar na kuwauwa watu kadhaa
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Uingereza yaisadia Afghanistan kukabili Taliban
Naibu gavana katika jimbo la Helmand Kusini mwa Afghanistan ameiambia BBC kuwa vikosi zaidi vya wanajeshi vimewasili Sangin kuuikabili Taliban
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mwanamke raia wa Afghanistan aliyefanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Taliban
Fawzia Koofi alikuwa sehemu ya ujumbe katika awamu tatu na kukutana na wawakilishi wa Taliban mara mbili mjini Moscow na mara moja mjini Doha.
5 years ago
BBCSwahili01 Mar
Vita vya Afghanistan: Je Taliban watafanya nini baada ya kutia saini makubaliano na Marekani?
Matumaini yenye tahadhari yamekuwa yakiongezeka lakini hatma ya kisiasa ya Afghanistan bado haijulikani
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Taliban yashambulia Kabul
Wapiganaji wa kundi la Taliban wametekeleza mashambulizi katika jumba la kukodisha ambalo hutumiwa sana na wageni.
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Pakistan kuzungumza na Taliban
Kundi la waakilishi wa serikali nchini Pakistan linasafiri kuelekea katika eneo la wapiganaji wa Taliban Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Taliban wajigamba na Mbwa wa Marekani
Kiongozi wa Taliban, Afghanistan,ameonekana akiwa na Mbwa wa jeshi la Marekani waliomkamata mwezi Disemba na kumuweka kama mfungwa wa kivita
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania