Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Jambo Festival kutikisa Arusha

JIJI la Arusha litatikiswa na tamasha kubwa la sanaa na utamaduni la kimataifa litakalojumuisha ngoma za asili, mavazi ya asili, muziki wa asili, mavazi na vyakula maarufu kama Jambo Festival....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

tamasha la sanaa na utamaduni la kimataifa Jambo festival kufanyika jijini arusha

Wasaniiwa muziki wa asili wakitoa burudani katika tamasha la Jambo festival.Mwenyekitiwa Tamasha la sanaa na utamaduni Arusha  maarufu kama JamboFerstival   Augustine Michael Namfua
Jiji la Arusha litatikiswa na tamasha la sanaa  na utamaduni la
kimataifa maarufu kama Jambo festival litakalojumuisha ngoma za asili,mavazi ya asili ,muziki wa asili,mavazi na vyakula  ,tamasha hilo litatikisa viunga vya jiji la Arusha ambalo ni kitovu cha utalii.
Takribani watu 3000 kutoka sehemu mbali mbali...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA JAMBO FASHION AFFAIR KUFANYIKA LEO ARUSHA


TAMASHA la Jambo Fashion Affair linatarajia kufanyika leo Jijini hapa na kushirikisha wabunifu wa ndani pamoja na wasanii kutoka Jijini Arusha na mikoa mbalimbali. Akizungumzia  maandalizi ya tamasha hilo linafanyika leo, Augustine Namfua  ambaye ni Mwenyekiti wa Jambo Festval alisema wamaejiandaa vizuri kuhakikisha wananchi wataohudhuria wanapata burudani ya ubunifu wa mavazi sambamba na muziki. Alisema wabunifu mbalimbali watakuwepo kama An Nisa, Fatma Naeem, Martin Kadinda ,Wanyoke Lewis,...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA KATIKA TAMASHA LA ARUSHA FILM FESTIVAL 2014

Kava la Filamu ya KITENDAWILI iliyochezwa na Single Mtambalike au Rich Rich, Irene Veda na Haji Adam ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions LimitedKava la Filamu ya NETWORK iliyochezwa na MONALISA NA BRIAN ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.

Tamasha la Arusha Film Festival ni tamasha la kimataifa ambalo linatarajiwa kufanyika kwa Mara ya Tatu mfululizo, ambapo litaanza tarehe 20 mpaka 27 Mwezi wa tisa (september) Jijini Arusha.

Arusha Film Festival 2014...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA

UPAKO! Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu, pamoja na burudani mbalimbali, waimbaji wa muziki wa Injili watakuwepo kulipamba tamasha hilo. Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Martha Mwaipaja. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kila kitu kimekwenda kwenye mstari na kinachosubiriwa ni muda ufike,...

 

9 years ago

Michuzi

Rebeca Malope kutikisa Diamond Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI nguli wa muziki  wa Injili barani Afrika, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama muimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake Sarah K wa Kenya  na Ephraim Sekeleti  wa Zambia ambao watafikisha shukrani za Watanzania baada ya kufanya uchaguzi Mkuu kwa amani na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu yazidi kutikisa Arusha

>Milipuko ya mabomu nchini inazidi kuongezeka baada ya bomu jingine kulipuka mjini Arusha na kujeruhi vibaya watu wanane wenye asili ya Kiasia katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine ulioko eneo la Arusha Gymkhana.

 

9 years ago

Bongo5

Jambo Squad wafungua mgahawa Arusha

Wasanii wa kundi la Jambo Squad kutoka Arusha wamethibitisha kauli ya kuwa muziki unalipa baada ya kufungua mgahawa jijini humo. Jambo Squad wamedai kuwa licha ya kuonekana wanafanya muziki wa tofauti, wameweza kupiga hatua kimaisha. “Sisi ni watoto wa uswahilini, tumelelewa uswahilini so maisha tunayajua,” waliiambia XXL ya Clouds FM. “Sisi ni watu wa biashara […]

 

10 years ago

Dewji Blog

YAMOTO Band kutikisa jiji la Arusha Jumamosi hii

unnamed

 

Bendi maarufu ya Yamoto yenye makazi yake jijini Dar es salaam inayoundwa na vijana wanne jumamosi Mei 30 inataraji kutumbuiza katika jiji la Arusha katika onyesho la Usiku wa wanawake maarufu

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mratibu wa onyesho hilo,Faustine Mwandago alisema kuwa bendi hiyo inataraji kupamba onyesho hilo ambalo wahudhuriaji wote watavalia vazi jeupe.

Alisema kuwa onyesho hilo litasindikizwa na wanawake maarufu kam Vera Sidika na Miss Tanzania 2015,Lilian Kamazima...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii

5

Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.

1

Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani