Tambwe: Yanga hamtajuta kunisajili kabisa
Wakati mshambuliaji Amissi Tambwe akisema Yanga haitajutia kumsajili, kocha Hans van Pluijm amesma amefurahi kurudi Tanzania hususan Yanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 Jan
Dk. Slaa: Simba, Yanga bure kabisa
NA EZEKIEL TENDWA
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa, amezitolea uvivu klabu za Simba na Yanga kusema hazina jipya.
Slaa alitoa kauli hiyo juzi Jumapili kwenye mkutano wa kumpongeza mwenyekiti mpya wa Serikali ya Kibwegere, Edson Nyingi, uliofanyika kwenye viwanja vya Makombe, Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo, Dk. Slaa alisema kwa sababu Simba na Yanga zimeshindwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlROZE3OFD*ikU-*qhJXVZqCErgJnTWTlaH-ThDz4mG1*Jk-sjSUSFukF3mvAHg6*ppq*1Cp1NGZPwPNIYACOKLdq/gfhgfgh.gif?width=650)
Thamani ya Tambwe Yanga ni kufuru
9 years ago
Habarileo04 Dec
Tambwe aongeza majeruhi Yanga
WAKATI kikosi cha Yanga kinatarajia kuingia kambini Jumatatu ijayo kujiandaa na michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika mkoani Tanga, mshambuliaji Amis Tambwe ameshindwa kuanza mazoezi kutokana na maumivu ya shingo.
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Tambwe aanza mavitu Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Yanga, Mrundi Amis Tambwe, jana alianza kujifua na kikosi hicho huku akionekana kuanza kwa kasi baada ya kuinogesha sehemu ya ushambuliaji ya timu hiyo mazoezini.
Tambwe alifanya uamuzi wa kushtukiza Jumatatu iliyopita baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, kufuatia kusitishiwa mkataba wake na viongozi wa Simba.
Katika mazoezi hayo ya Yanga yaliyofanyika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam, Tambwe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsODdanfIL8jvr0Xdh9hcysXxfyyFoNKa6htsM4X4RM-LS7TjFo61a2kpe9zNgGZ0Spd1*Gwguh1ug7b3w1SQkKm3/Tambwecopy.jpg?width=650)
Tambwe: Yanga njooni tuzungumze
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Tambwe awapa raha Yanga
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Tambwe 4, Yanga 8, Julio bure
10 years ago
Vijimambo15 Dec
YANGA YA MNASA TAMBWE ALIEACHWA NA SIMBA
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/tambwe-yanga.jpg?resize=480%2C480)
Taarifa zilizoingia kwenye mtandao huu dakika chache zilizopita ni kwamba Dar-es-salaam Young Africans imemsajili mshambuliaji wa Simba aliyeachwa Amisi Tambwe .Yanga imemsajili Tambwe dakika chache zilizopita ambapo anakuja kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Hamis Kiiza ambaye amejiunga na URA ya Uganda .
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/tambwe.jpg?resize=1600%2C1074)
Tambwe alikuwa mfungaji bora wa ligi msimu uliopita ambapo alifunga mabao 19 kwenye ligi lakini alishindwa kuwika msimu huu baada ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj362YjnsfjMjGke3f2V42yAab4D*FYpixDUrUv4aK5Kwq*6*KTI*Tf14GVbOujFUZXNDMVUrpf8MMwe7UIQimLI/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia