Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMCO YASISITIZA MSHIKAMAO WA KIJAMII

Mwenyekiti wa Tanzanian Muslim Community Ndugu Ali Muhammed Shafi (Picha zote na Abou Shatry)Baadhi ya waumini wa  Tanzanian Muslim Community wakiwa katika mkusanyiko wa siku ya familia, ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo,  Siku ya Jumapili June 6, waIslamu Washington DC Nyuma kabisa aliekuwa muasisi wa zamani wa Tanzanian Muslim Community in Washington DC (TAMCO) Bwana Yusuf Kalala akiwa na Shamis Alhatry, kushoto, Kulia ni Mwenyekiti wa ZADIA, pa moja na Mganga  katika sharehe ya familia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY


Watatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa tamco Bw. Ali Mohamed akifutiwa na muasisi alietowa wazo la kuanzishwa jumuiya ya waislam ya watanzania  waishio washington DC na vitongoji vyake, mzee Yussf Kalala wa nne kutoka kulia, wakiwa na baadhi ya viongozi wengine katika siku ya TAMCO FAmily Day
Muasisisi wa TAMCO, Mzee Yussuf Kalala akiwakaribisha meza kuu Ali kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuwasalimia watanzania waliohudhuria katika TAMCO Family Day TAMCO Family Day hufanyika kila mwaka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC- TAMCO



Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha 
kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:- 
Jumamosi, June 20th, 2015 – Glenmont Park Activity Building 
Address:  3201 Randolph Road, Wheaton, MD 20906
Jumapili, June 21st, 2015 – July 12, 2015  (Siku Zote Zilizobaki):
Indian Springs-Terrace Park Activity Building
Address:  9717 Lawndale...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMCO FAMILY DAY- June 6, 2015



ASALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAH WA BARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika  WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu Zingine za TAMCO.
Jumamosi ya Tarehe June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr. Silver Spring MD 20901
Kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UKOTAK BAADA YA CHAI YA EID YA TAMCO

UKODAK WA WATANZANIA BAADA YA CHAI YA EID YA TAMCO ILIYOFANYIKA WHEATON, MARYLAND

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA EID TAMCO ZILIZOFANYIKA MEADOWBROOK PARK

Meza kuu ikiongozwa na mwenyekiti wa TAMCO Ally Moahamed (kati) wakiwemo wawakilishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. afisa wa uhamiaji Bwn. Abbas Nissana (kulia) na Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Colonel Adolph Mutta.Mtunza fedha wa TAMCO Bi. Asha Harizi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake. Colonel Mutta akiongea machacheKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakazi nyumba za TAMCO waiomba Halmashauri ya Kibaha kutengeneza barabara

DSC07932

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mkoa wa Pwani, imesababisha madhara mengi, ikiwemo kuharibu vibaya kipande cha barabara kinachoanzia bwalo la magereza hadi nyumba za Tamco katika halmashauri ya manispaa ya Kibaha. Kipande hicho endapo hakitafanyiwa matengezo mapema,kuna kila dalili kwamba kitakuwa hakipitika kabisa na hivyo kukata mawasiliano kati ya wakazi wa nyumba za Tamco, maeneo ya makaburi ya Air Msae na vitongoji vingine na makao makuu ya manispaa hiyo.(Picha na Nathaniel...

 

11 years ago

Dewji Blog

Libe aungana na iftar ya Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metro(TAMCO)

Na  Abou Sharty Washington DC

Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe “Libe”, siku ya Jumapili July 6, 2014 alipata fursa ya kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Tanzanian Muslim Community (TAMTCO), iliopo Washington DC Metro,  kwa ajili ya kuonyesha umoja na mshikamano dhidi ya Jumuiya ya mbali mbali ziliopo hapa DMV.

10524472_10154309166070247_469083183_n

 Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe “Libe”. (wapili kulia) akipata picha ya pamoja na ...

 

11 years ago

Michuzi

TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII


Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha  wote kwenye  sherehe za MAULID .  Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili  Hii tarehe 16 Februari 2014.  Claridge Local Park  11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902.  3:00 PM - 8:00PM WOTE MNAKARIBISHWA

 

11 years ago

Michuzi

Libe ashiriki iftar ya Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metro(TAMCO)

Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe". (wapili kulia) akipata picha ya pamoja na  waumini wa  Tanzanian Muslim Community in  (TAMCO) Siku ya Jumapili July 6, 2014 ndani ya ukumbi wa Indian Spring ulipo Silver Spring Maryland
Na  Abou Sharty Washington DC 
 Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe", siku ya Jumapili July 6, 2014 alipata fursa ya kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Tanzanian Muslim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani