Wakazi nyumba za TAMCO waiomba Halmashauri ya Kibaha kutengeneza barabara
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mkoa wa Pwani, imesababisha madhara mengi, ikiwemo kuharibu vibaya kipande cha barabara kinachoanzia bwalo la magereza hadi nyumba za Tamco katika halmashauri ya manispaa ya Kibaha. Kipande hicho endapo hakitafanyiwa matengezo mapema,kuna kila dalili kwamba kitakuwa hakipitika kabisa na hivyo kukata mawasiliano kati ya wakazi wa nyumba za Tamco, maeneo ya makaburi ya Air Msae na vitongoji vingine na makao makuu ya manispaa hiyo.(Picha na Nathaniel...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LOCpssTMyE0/Xut7m2rC8vI/AAAAAAALue8/pyZjmKmU154tziMn--gUugiCc7DKnVQBQCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Habarileo12 Mar
Mwongozo wa kutengeneza barabara wazinduliwa
SERIKALI imezindua kitabu cha mwongozo wa matengenezo ya barabara za Wilaya na Halmashauri nchini kwa kushirikiana na shirika la misaada la Japan International Co-operation Agency utakaotumiwa na wahandisi wa wilaya husika katika kukarabati barabara zote nchini.
11 years ago
Habarileo02 Aug
Halmashauri Kibaha yatisha wasioendeleza viwanja
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, imewataka watu waliochukua viwanja kwenye eneo la kitovu cha mji, waviendeleze na endapo watashindwa watanyang’anywa viwanja hivyo.
10 years ago
Habarileo16 Dec
Halmashauri Kibaha kuchanja mbwa 5,000
HALMASHAURI ya Mji Kibaha mkoani Pwani imeanza kutoa chanjo ya kichaa cha mbwa ili kuwanusuru wananchi na ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa.
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
TANROADS Singida yatumia Shilingi bil 1.2 /- kutengeneza barabara
Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo,akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa,kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKALA wa barabara TANROADS Mkoa wa Sigida imetumia zaidi ya shilingi 1.2 bilioni kugharamia matengenezo ya kawaida kwa barabara kuu yenye urefu wa kilometa 589.2 kati ya Aprili na Juni mwaka huu.
Hayo yamesemwa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wjbtdxVX4bg/XsVvcdsDh7I/AAAAAAALrA0/Yw09tRyYGzgcR41GYjSGSgsob8sXKZR2ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200520-WA0036.jpg)
DC MSHAMA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA
MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ,amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na timu yake kufunga hoja 18 zilizokuwa hazijafungwa kwa mwaka 2017/2018 na kufanyia kazi maelekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG ),ndani ya wiki moja.
Aidha ametoa maagizo mengine makubwa manne kwa halmashauri hiyo ikiwemo kuepuka kuingia mikataba mibovu inayosababisha hasara baadae na kudhibiti vyanzo vya ndani vya mapato.
Akizungumza katika...
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mfuko wa elimu wa halmashauri ya mji wa Kibaha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo, Mei 31, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za...