Tanesco yaonya kuhusu vishoka
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limewatahadharisha wananchi kuwa makini na matapeli, wanaochukua fedha zao kwa kuwadanganya kuwa watawafungia umeme kwa haraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV14 Apr
Wakazi kijiji cha Baga watapeliwa sh. mil. 2.5 na ‘Vishoka’ wa Tanesco.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mtu mmoja aliyejiita kuwa mfanyakazi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO amewatapeli wakazi wa kijiji cha Baga shilingi milioni 2.5 fedha alizokuwa akichangisha kwa ajili ya kuwaunganishia huduma ya umeme kijijini hapo.
Kutokana na hali hiyo TANESCO Mkoa wa Tanga limewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaojiita kuwa ni vishoka wa shirika hilo ambao dhamira yao kuu ni kuwatapeli wananchi.
Ilikuwa ni kazi kuzingoa nguzo zilizokuwa zimejengwa na watu...
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
WHO yaonya kuhusu wimbi la saratani
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Ubelgiji yaonya kuhusu Shambulio
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
EU yaonya kuhusu ufisadi Ulaya
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
UN yaonya kuhusu mapigano Darfur
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
UNHCR yaonya kuhusu ongezeko la wakimbizi
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Serikali ya Tanzania yaonya kuhusu ugaidi
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Marekani yaonya kuhusu mashambulio ya Urusi