Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZA BURE KATIKA TOVUTI HII

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA KUHAKIKI BURE TAARIFA ZAO KWA KUTUMIA SIMU,TOVUTI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dk.  Wilson Charles Mahera.


Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanisha njia tatu za Mpiga Kura kumwezesha kuhakiki kirahisi taarifa zake katika Daftari la...

 

9 years ago

GPL

TUNAKUOMBA RADHI MSOMAJI WETU, TOVUTI HII IMEBADILISHWA

Ndugu msomaji wetu, Global Publishers inakuomba radhi kwa usumbufu wowote utakaoupata. TOVUTI YETU IMEBADILISHWA, ITAKUWA INAPATIKANA HAPA===>http://globalpublishers.co.tz

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII TUSIJE ONANA WABAYA BURE

Kama ni wewe ungefanyeji ukiona simba katoa macho na ulimi juu ya meno yenye ncha kali kama mbwai mbwai tu.

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio taasisi inayotoa huduma ya matibabu bure jijini Dar

10995988_1437850883176131_1662728636697019795_n

Taasisi ya Mkono wa Tumaini inayofanya kazi za kusaidia jamii kwa kutoa huduma za matibabu bure maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita, imeweza kuendelea la jukumu la kusaidia jamii ya watu wa Kinondoni hasa maeneo ya Kinondoni shamba na maeneo ya jirani kuwasaidia kupata unafuu kwa matibabu wale wasio na uwezo wa kumudu gharama za kuwaona madaktari.

10995988_1437850883176131_1662728636697019795_n
Baadhi ya wananchi wa Kinondoni wakisubiri kupewa huduma na waataalam wa taasiso hiyo

Taasisi hiyo, inayofanya kazi...

 

11 years ago

Michuzi

SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Na ticha Yusuph Kileo. Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI  (PRIVACY)  ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.  Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani