Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA SWALA YA EID KW An Noor Community Leicester KESHO


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEREHE YA UFUNGUZI WA MASJID AN NOOR LEICESTER

Assalaamu Alaykum Wa Rahmatul Lah

Inshaa Allah Jumapili tarehe 22 Juni 2014 itakuwa ndiyo siku ya Ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kituo cha An Noor Leicester (An Noor Community Centre) pamoja na Masjid An Noor

Maimamu wa Misikiti yote ya mjini Leicester wamealikwa kuhudhuria katika mjumuiko Maalumu ambao utakuwa na lengo la kutambuana rasmi, kuimarisha Ushirikiano na kufungua milango kuwakaribisha rasmi Maimamu wa Leicester na Wafuasi wao

Wanakamati wote wa Jumuia ya An Noor pia watahudhuria...

 

9 years ago

Vijimambo

Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)

 
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha  WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1.     Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2.     Sherehe za Eid Jioni  - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...

 

10 years ago

Michuzi

EID KUBWA YA KIHISTORIA LEICESTER


Wanajumuia wa An Noor Leicester pamoja na ndugu na marafiki kutoka ndani ya mji huo na mingine ya Uingereza kama vile London, Leeds na Coventry Jumamosi tarehe 4 Oktoba walijumuika kusherehea sikukuu ya Eid Ul Adh-ha katika Masjid An Noor, Belgrave Gate.Ilikuwa ni sherehe ya kihistoria, ambayo ilianza kwa Takbeer kisha Sala ya Eid, na kufuatiwa na Khutba iliyotolewa na Imamu Mkuu Sheikh Saleh Juma.Kabla ya waumini kukumbatiana na kupongezana, Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Jumuia ya An Noor...

 

10 years ago

Michuzi

Tangazo la Msiba Leicester, Uingereza


Annur Community Centre Leicester, UK,  Inasikitikita kutangaza kifo cha Mume wa Dada Ashura Juma, Bwana Twalib Durrace kilichotokea Jumatatu 13/04/15 Peterborough City Hospital.
Mazishi yatafanya leo Jumanne 14/04/15 hapo Peterborough central Mosque saa Tisa Mchana. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Abdul Dau 07792104495. Innaa Lillaahi wa Innaa Ilayhi Rajioon.

Khamis Sahal, Mdhamini Jumuia ya  Annoor 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL.

 

10 years ago

Michuzi

Mwaliko wa SALA YA EID UL ADH-HA Leicester

Assalaamu alaykum wa Rahmatul Laahi wa Barakaatuh

 Jumuia ya An Noor ya Mji wa Leicester, Uingereza, ina furaha kuwatangazia na kuwaalika Waislamu wote kutoka katika mji wa Leicester na vitongoji vyake katika Sherehe za Eid ul Adh-ha kwa Utaratibu huu hapa chini:SIKU:   Jumamosi tarehe 4 Oktoba 2014

PAHALA:         Masjid An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL

WAKATI:         Takbeer msikitini zitaanza Saa Tatu Kamili Asubuhi (9.00am)

                    Na Sala ya Eid...

 

5 years ago

CCM Blog

WAPALESTINA WASHAMBULIWA KATIKA SWALA YA EID EL FITRI

Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya Ibada.Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Fars, wanajeshi wa utawala ghasibu siku ya Jumapili  asubuhi waliwashambulia  Wapalestina waliokuwa wamefika kando kando ya msikiti wa Al Aqsa kwa ajili ya Swala ya siku kuu ya Eid el Fitri.Pamoja na kuwepo utumiaji mabavu wa askari wa Kizayuni, Wapalestina hao hatimaye waliweza kuswali Swala siku kuu ya Eid el...

 

10 years ago

Michuzi

Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) wafanikisha swala na sherehe za Eid el Fitr

BismiLlahi Rahman Rahiim, Asalam Alaikum WarahmatuLlwahi Wabarakaatuh...Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) ambayo ni jumuiya ya Waislam wanaozungumza ki- Swahili nchini Uingereza (United Kingdom) hatimaye wameweza kwa mafanikio makubwa kusherehekea Eidil fitr ugenini kama walivyozoweya kusherehekea wakiwa nyumbani. Mafanikio hayo yamekuja ktk kipindi ambacho yalihitajika sana kwa ajili ya kufundisha vizazi vyao maadili mema ambayo yanakwenda sambamba na malengo ya dini yao na...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA SWALA YA EID UL'HAJJ WAISLAM NEW YORK MNAKARIBISHWA NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN





BAADA YA SWALA YA EID UL’HAJJ BILAL ANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE WA NEW YORK NYUMBANI KWAKE BROOKLYN KWA AJILI YA KIFUNGUA KINYWA NA CHAKULA. UKISOMA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO KUANZIA ASUBUHI NA KUENDELELEA. ADDRESS NI 341 LOGAN ST APT F2. BROOKLYN.NY 11208KWA WALE WAPENDA BIRIYANI BILAL NDIYO DR WA MAPICHI HAYO HAPA AKIFANYA VITU VYAKE.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani