Tangu lini kura iliyopigwa jana ikarudiwa kesho yake?
Wiki iliyopita Bunge la Katiba lilipitisha Katiba waliyoipendekeza, badala ya ile ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Joseph Warioba na kuwashawishi Watanzania waipigie kura ya ndiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Tangu lini wananchi tukawa na urafiki na wanasiasa?
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Umanamba huu ni tangu enzi za mkoloni utaisha lini?
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Umanamba huu wa tangu enzi za mkoloni utaisha lini?
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Juma Nature: Pombe nimeacha tangu mwaka jana
KAMA kawaida ya safu hii inakuletea maisha ya watu mbalimbali maarufu kuona wanaishi vipi katika maisha yao ya kawaida. Leo tunaye mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva na kiongozi wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature.
Juma Nature ni miongoni mwa wanamuziki wachache walioweza kudumu katika Bongo Fleva kwa muda mrefu na kuwa na mashabiki wengi ndani na nje ya Tanzania.
Mwanamuziki huyo alikuja na mtindo wa kipekee katika muziki wake na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0ha*GSKqGN6woStskyX3rH-wYnDzu5JvJw7CfUjUecXWuePC9cCZHsxbDjukBAuEgwu7UuRIL7iW5DvVNfotGG/1.jpg?width=650)
SOKO LA KARUME LATEKETEA KWA MOTO TANGU JANA USIKU
9 years ago
Bongo513 Oct
Shaa adai ana video 3 alizoshoot nje tangu mwaka jana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar07 Sep
ZEC lini itatowa daftari la wapiga kura?
Kila mtu sasa hivi yuko katika kuhesabu siku zilizobaki kufikia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Huku tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ikikesha mchana kutwa pale Bwawani kutoa na kupokea fomu za wagombea, bado tume hii inayokazi […]
The post ZEC lini itatowa daftari la wapiga kura? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo29 May
Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, Francis Cheka apima uzito kuzichapa na Mthailand kesho!
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/cheka-3.jpg)
BONDIA Francis Cheka wa Tanzania na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand wamepima uzito leo kwenye ukumbi wa Green Grill uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam tayari kwa pambano lao linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Masumbwi.Pambano hilo litapigwa kesho usiku kwenye ukumbi wa PTA Manispaa ya Temeke.
Cheka na Singwancha watazichapa kwenye pambano hilo la raundi 10 lisilo na ubingwa wowote, lakini ni mabondia hao wawili wanatafuta kulinda heshima.
Singwancha alitua Dar jana...