Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGULIA TYSON, HAUTASAHAULIKA

FILAMU ya Girlfriend iliyotengenezwa mwaka 2003, ambayo wadau wote wanakubaliana kwamba ndiyo iliyolipua moto wa watengeneza sinema wa Kitanzania, inabaki kuwa ndiyo filamu iliyomuweka rasmi George Otieno Okumu ‘Tyson’ kwenye ramani ya filamu za Kibongo na kumpa heshima kubwa. Marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ enzi za uhai wake. George Tyson, Mkenya aliyekuwa akifanya shughuli zake hapa nchini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury

Je Tyson Fury atampiga Deontay Wilde na kuwa bingwa wa mara mbili wa kombe la dunia?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tangulia Mandela, fikra zako zitaishi kwa wanyonye

WIKI iliyopita Afrika na dunia kwa ujumla ilipokea kwa mshituko taarifa za kifo cha rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGULIA KWA AMANI SHEIKH OMAR ALHADY ULIYEDUMU SIKU 10 TU MADARAKANI!


Sheikh Omar Alhady
Mwenyekiti mpya wa Villasquad, Sheikh Omar Alhady amefariki dunia juzi katika hospital ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la figo.Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliongoza mazishi yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.Sheikh omary alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa klabu katika mkutano mkuu wa wanachama uliofanyika mwezi huu tarehe 17 na amedumu kwa siku kumi tu (10) tangu achaguliwe.Rais mstaafu wa awamu ya pili, Allu Hassan Mwinyi...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WASUSIA 40 YA TYSON

Stori: Gladness Mallya Jamani! Katika hali ya kushangaza, mastaa wa filamu Bongo wamesusia kumbukumbu ya siku 40 ya aliyekuwa muongozaji maarufu wa filamu nchini, George Otieno ‘Tyson’ aliyefariki dunia kwa ajali Mei 31, mwaka huu. Aliyekuwa mke wa George Otieno, 'Tyson', Beatrice Shayo Shughuli ya 40 ya Tyson ilifanyika Alhamisi iliyopita nyumbani kwa aliyekuwa mkewe, Beatrice Shayo maeneo ya Sinza-Mapambano, Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC aongoza mamia kumuaga Tyson

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa (RC), Said Meck Sadik, jana walijitokeza kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni kutoa heshima za mwisho kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tyson Fury 'atarambishwa sakafu'

Wladimir Klitschko atamuangusha Tyson Fury watakapopigana katika mji wa Dusseldorf siku ya jumamosi kulingana na bondia wa uzani mzito nchini Uingereza Anthony Joshua.

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

Mwongozi filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea mkoani Dodoma.

 

11 years ago

GPL

MATUKIO 4 MSIBANI KWA TYSON

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
MWILI wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ usiku wa Jumanne iliyopita ulifikishwa nyumbani kwake Mbezi Makonde jijini Dar kwa ajili ya ndugu zake ambao kesho yake (Jumatano) wasingeweza kufika Viwanja vya Leaders Club kuuaga, wafanye hivyo. Aliyekuwa mke wa marehemu, George Otieno ‘Tyson’, Yvone Cherryl ‘Monalisa’akilia kwa uchungu. Ijumaa...

 

11 years ago

Michuzi

UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON

Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) kesho Jumanne Juni 3 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
  Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani