MASTAA WASUSIA 40 YA TYSON
![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRkAZWwTTuFQsaDyGtmDhbXgBaxSZwVKurx7T-cWUAXnf5zWRXQDDdGrB0v7Hk0KdBeV1F03UFIq1mUDCkYlD9iS/TYSON.jpg)
Stori: Gladness Mallya Jamani! Katika hali ya kushangaza, mastaa wa filamu Bongo wamesusia kumbukumbu ya siku 40 ya aliyekuwa muongozaji maarufu wa filamu nchini, George Otieno ‘Tyson’ aliyefariki dunia kwa ajali Mei 31, mwaka huu. Aliyekuwa mke wa George Otieno, 'Tyson', Beatrice Shayo Shughuli ya 40 ya Tyson ilifanyika Alhamisi iliyopita nyumbani kwa aliyekuwa mkewe, Beatrice Shayo maeneo ya Sinza-Mapambano, Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA
11 years ago
GPLMASTAA, WANANCHI WAKUSANYIKA HOSPITALI YA KAIRUKI KUUPOKEA MWILI WA TYSON
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
UKAWA wasusia Bunge
HALI ya hewa ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ilichafuka baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na...
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wananchi wasusia upasuaji
LICHA ya kusogezewa huduma ya upasuaji jirani, wakazi wa kata ya Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaendelea kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo wakiamini huduma inayotolewa katika Kituo cha Afya cha Madibira ni ya majaribio.
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Mawaziri Zanzibar wasusia bajeti
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Tangasisi wasusia fidia kiduchu
WAKAZI wa Mwambani, Kata ya Tangasisi, wilayani Tanga wameelezea kutoridhishwa na fidia waliyolipwa ili kupisha ujenzi wa reli kwenye Bandari mpya ya Mwambani. Wakazi hao zaidi ya 200 wanaoishi kandokando...
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Waasi wasusia mazungumzo ya amani