Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wasusia upasuaji

LICHA ya kusogezewa huduma ya upasuaji jirani, wakazi wa kata ya Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaendelea kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo wakiamini huduma inayotolewa katika Kituo cha Afya cha Madibira ni ya majaribio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wasusia mkutano wa UWT

WANANCHI wa Kata ya Nyandira Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamesusia Mkutano wa hadhara uliyokuwa ufanywe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Jumuia ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WASUSIA 40 YA TYSON

Stori: Gladness Mallya Jamani! Katika hali ya kushangaza, mastaa wa filamu Bongo wamesusia kumbukumbu ya siku 40 ya aliyekuwa muongozaji maarufu wa filamu nchini, George Otieno ‘Tyson’ aliyefariki dunia kwa ajali Mei 31, mwaka huu. Aliyekuwa mke wa George Otieno, 'Tyson', Beatrice Shayo Shughuli ya 40 ya Tyson ilifanyika Alhamisi iliyopita nyumbani kwa aliyekuwa mkewe, Beatrice Shayo maeneo ya Sinza-Mapambano, Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wasusia Bunge

HALI ya hewa ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ilichafuka baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tangasisi wasusia fidia kiduchu

WAKAZI wa Mwambani, Kata ya Tangasisi, wilayani Tanga wameelezea kutoridhishwa na fidia waliyolipwa ili kupisha ujenzi wa reli kwenye Bandari mpya ya Mwambani. Wakazi hao zaidi ya 200 wanaoishi kandokando...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri Zanzibar wasusia bajeti

Mawaziri wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na Wawakilishi kutoka CUF jana walitoka kwenye kikao cha bajeti cha Baraza la Wawakilishi, wakipinga urasimu katika utoaji vitambulisho vya ukazi wa Zanzibar na uandikishaji wapigakura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wasusia uchaguzi Thailand

Waziri mkuu Yingluck Shinawatra, amesema uchaguzi uliofanyika ni ishara tosha kuwa watu wa Thailand wana imani na Demokrasia.

 

10 years ago

GPL

MASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA

  Bango likionyesha picha na majina ya wasanii wa filamu na maigizo waliotangulia mbele ya haki lililowekwa katika viwanja vya Karimjee wakati wa Hitima hiyo iliyofanyika miki iliyopita.      Aliyekuwa mgeni rasmi kwenye hitima hiyo, Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Abdalah Bulembo akitoa neno wakati wa shughuli.     Baadhi ya waalikwa waliokuwa… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi wasusia mazungumzo ya amani

Waasi wa Sudan Kusini wasema hawatashiriki katika awamu ya pili ya mazungumzo ya amani hadi wafungwa wote wa kisiasa watakapoachiliwa huru

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CHADEMA wasusia kikao

MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani