Wananchi wasusia mkutano wa UWT
WANANCHI wa Kata ya Nyandira Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamesusia Mkutano wa hadhara uliyokuwa ufanywe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Jumuia ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wananchi wasusia upasuaji
LICHA ya kusogezewa huduma ya upasuaji jirani, wakazi wa kata ya Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaendelea kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo wakiamini huduma inayotolewa katika Kituo cha Afya cha Madibira ni ya majaribio.
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Mama Pinda afungua mkutano wa Baraza la UWT wilaya ya Mlele
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo Desemba 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akijumuikana wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wanawake la Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo,...
10 years ago
MichuziMAMA PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA UWT WILAYA YA MLELE,KATAVI
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kwenye shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014.Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimia na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo Desemba 28, 2014.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
GPLMASTAA WASUSIA 40 YA TYSON
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
UKAWA wasusia Bunge
HALI ya hewa ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ilichafuka baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na...
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Mawaziri Zanzibar wasusia bajeti
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Upinzani wasusia uchaguzi Thailand
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Madiwani CHADEMA wasusia kikao
MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...
10 years ago
GPLMASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA