Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri Zanzibar wasusia bajeti

Mawaziri wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na Wawakilishi kutoka CUF jana walitoka kwenye kikao cha bajeti cha Baraza la Wawakilishi, wakipinga urasimu katika utoaji vitambulisho vya ukazi wa Zanzibar na uandikishaji wapigakura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waipasha Kamati ya Bajeti

WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Naibu wake, Mwigulu Nchemba, wamehoji utendaji kazi wa Kamati ya Bajeti katika kuzungumzia vyanzo mbadala vya mapato na deni la Taifa sasa. Wamesema hali hiyo inaonesha jinsi kamati hiyo, ilivyo kigeugeu katika kauli zake.

 

10 years ago

Habarileo

Bajeti ya kicheko Zanzibar

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar, Omar Yussuf MzeeSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016 huku ikiimarisha na kuongeza kodi katika vyanzo vya mapato kutokana na washiriki wa maendeleo kupunguza misaada yao ya kibajeti.

 

5 years ago

Michuzi

BAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.

"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikao cha Bajeti ya Zanzibar leo

 Kikao cha majadiliano ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kitaaza leo katika Baraza la Wawakilishi kisiwani hapa, miswada miwili ya sheria itawasilishwa na kujadiliwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utata wazidi kuhusu mawaziri Zanzibar

Utata umezingira hatima ya mawaziri katika serikali ya visiwani Zanzibar baada ya kuongezewa muda kwa rais wa visiwani kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI LEO

 Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionyesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15.   Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba yamapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15. Baadhi ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba: Mawaziri Zanzibar wapigia kampeni kura ya ndiyo

Mawaziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wameanza kampeni kuwataka wananchi kuunga mkono Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema imezingatia masilahi ya Zanzibar kiuchumi na kiutawala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani