TANROADS SIMAMIENI UBORA WA BARABARA-KWANDIKWA

Muonekano wa sehemu ya barabara ya Usesula – Komanga (km 117), inayojengwa kwa kiwango cha lami. Ujenzi wa mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba 2021 na mpaka sasa mkandarasi ameshakamilisha kujenga (km 43.2) kwa kiwango cha lami, mkoani Tabora.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akizungumza na Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya LEA International Bw. Leela Prasad (kulia) anayesimamia ujenzi wa barabara ya Usesula-Komanga yenye urefu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKWANDIKWA: HAKUNA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ITAKAYOSIMAMA
5 years ago
Michuzi
KWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya


10 years ago
Habarileo12 May
Tanroads kuchunguza uharibifu wa barabara
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeunda timu ya wataalamu wake na kushirikiana wenzao wa Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya Barabara kutoka nchi ya Afrika Kusini kwa ajili ya kuchunguza kwa kina chanzo za uharibifu wa barabara kuu za lami nchini.
9 years ago
Michuzi
TANROADS kuendelea na ujenzi wa barabara ya Kamanga

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa Barabara itokayo Kamanga Ferry kuelekea Sengerema kwa kiwango cha lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yamesemwa leo na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza Mhandisi Leonard Kadashi alipokuwa akizungumza na Mwandishi wa Habari ofisi kwake kutolea ufafanuzi suala la Barabara ya Kamanga Ferry mpaka Sengerema ambayo haipo katika hali nzuri na kusema mkandarasi yupo na...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Tanroads yaagizwa kukabidhi barabara kwa DART
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kukabidhi maeneo ya barabara yaliyokamilika ya mradi wa barabara wa mabasi yaendayo kasi kwa Wakala wa Usafiri Haraka wa Mabasi(DART) ili yaanze kutumiwa na wananchi.
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
TANROADS Singida yatumia Shilingi bil 1.2 /- kutengeneza barabara
Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo,akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa,kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKALA wa barabara TANROADS Mkoa wa Sigida imetumia zaidi ya shilingi 1.2 bilioni kugharamia matengenezo ya kawaida kwa barabara kuu yenye urefu wa kilometa 589.2 kati ya Aprili na Juni mwaka huu.
Hayo yamesemwa na...
10 years ago
Michuzi
DKT. MAGUFULI AMWAGIZA MTENDAJI MKUU TANROADS KUKABIDHI BARABARA YA “DART”
Hayo ameyazungumza Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli katika hafla uzinduzi wa barabara ya Uhuru ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam iliyofanyika leo katika viwanja vya...
10 years ago
Michuzi
TANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR


11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.
Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.
Mbunge wa jimbo la...