TANZANIA HOTTEST MODELS COMPETITION YAJA
![](http://1.bp.blogspot.com/-F1ZBPiB-vio/VjeaWTOY4lI/AAAAAAAID9I/l_8CfavQCo4/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Neema Modelling Agency, wanakuletea TANZANIA HOTTEST MODELS COMPETITION. Ni shindano la kumtafuta mwanamitindo wa kike , mwenye mvuto kuliko wote TanzaniaSIFA ZA WASHIRIKI.1. Awe msichana mwenye umri usio pungua miaka kumi na nane na usio zidi miaka thelathini.2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.3. Uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha za Kiswahili na kiingereza.4. Awe maridadi na mwenye mvuto5. Awe raia wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Tanzania Top Models ilivyoandika historia
DESEMBA 7, mwaka huu, iliandikwa historia mpya katika fani ya uanamitindo hapa nchini, pale shindano la Tanzania Top Models lilipofanyika kwa mara ya kwanza. Shindano hilo limeasisiwa na Tanzania Top...
10 years ago
Bongo521 Jan
Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-B11_Uzp4W4s/VV1g3JtKN5I/AAAAAAAHYw4/Q1YmE-qIlHY/s72-c/unnamed%2B%252871%2529.jpg)
9 years ago
Bongo514 Nov
Ommy Dimpoz atoa sababu za wasanii wa Tanzania kutumia models wa nje kwenye video zao
![Ommy na model wa ndagushima](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ommy-na-model-wa-ndagushima-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz ni kati ya wasanii wa Bongo ambao wameshoot video zao kadhaa nje ya Tanzania kwa kutumia waongozaji pamoja na video models wa nje.
Ommy Dimpoz na model wa ‘Ndagushima’ Sofia Skvortsova
Wengi wanaamini upo uwezekano wa wasanii kuamua kusafiri na models kutoka nyumbani kama ambavyo husafiri na dancers wao kwenda kushoot video nje, lakini Ommy Dimpoz ana sababu za kwanini hushindwa kufanya hivyo.
“Mara nyingi models wa nje wako proffesional wanaweza kucheza character zote ambazo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GOP_oGJFAqY/VVzWF-c2q3I/AAAAAAAHYrw/wFQEluYW0B0/s72-c/unnamed%2B%252861%2529.jpg)
Tanzania College Star Music competition
![](http://1.bp.blogspot.com/-GOP_oGJFAqY/VVzWF-c2q3I/AAAAAAAHYrw/wFQEluYW0B0/s640/unnamed%2B%252861%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-torxqNCcpBU/VVzWILxd13I/AAAAAAAHYr4/QIKUARrket4/s640/unnamed%2B%252858%2529.jpg)
9 years ago
Bongo510 Nov
Kwanini wasanii wetu siku hizi wanawatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania? — Jacqueline Wolper
![wolper](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/wolper-300x194.jpg)
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.
Hiki ndicho alichoandika Wolper;
“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Vodacom yaja na ‘Hello Tanzania’
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania imeanzisha promosheni mpya iliyopewa jina ‘Hello Tanzania’ ambayo inamuwezesha mteja kuzungumza bure kwa dakika moja. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lsbHKWxJnTQ/U_g5X7jSKBI/AAAAAAAGBig/va5hWDYFev8/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
HOSTS TANZANIA MAKE IMPRESSIVE START IN EAC MILITARY NETBALL COMPETITION
![](http://4.bp.blogspot.com/-lsbHKWxJnTQ/U_g5X7jSKBI/AAAAAAAGBig/va5hWDYFev8/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
---------------------------- Hosts and defending champions Tanzania made a flying start in the eighth edition of the EAC military netball competition with smashing 113-10 win over Burundi at the JKU ground in Zanzibar yesterday.
Tanzania’s towering Goal Shooter (GS) Mwanaidi Hassan was a thorn in Burundi’s defence .Burundi’s Goalkeeper Mutoni Bertiel was completely...
10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015