Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania, Algeria kushirikiana zaidi

Tanzania itaanza kushirikiana na Algeria katika masuala ya kiuchumi kupitia sekta za gesi, mafuta na umeme kutokana na mafanikio makubwa yaliyofikiwa nchi hiyo kupitia rasilimali hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania, Canada kushirikiana zaidi

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema, Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi ya Canada katika kuendeleza mpango wa ukuzaji wa sekta ya madini nchini hususan uchimbaji wa mafuta, gesi na madini.

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

FINLAND NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIBIASHARA

 Mkurugenzi wa biashara ya ndani mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutagarutwa akizungunza  katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam  leo. Kuhusiana na  wigo wa biashara hapa nchini na nchi ya Finlan.  Mwenyekiti wa mkutano na Ushirikishaji  wa ubalozi wa Finland,Siv Ahlberg katika akizungunza  katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA GIZ

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akitoa tamko kuhusu Siku ya Soko la Afya iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la GIZ , itakayofanyika Oktoba 2 katika ukumbi wa Diammond Jubelee jijini Dar es salaam.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Canada kuendelea kushirikiana

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Canada ili kuendeleza mpango wa ukuzaji wa sekta ya gesi asilia, madini na utalii nchini. Profesa Muhongo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuendele kushirikiana na GIZ

GIZ - 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akitoa tamko kuhusu  Siku ya Soko la Afya  iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la GIZ , itakayofanyika Oktoba 2 katika ukumbi wa Diammond Jubelee jijini Dar es salaam.

GIZ - 2

Naibu Meneja wa Miradi ya Afya wa GIZ Bw. Christian Ptleiderer akizungumza na waandishi wa habari kutoa wito kwa mashirika mengine yanayotoa huduma za afya nchini kuendelea kusaidia na kusambaza huduma zao katika maeneo yenye changamoto...

 

10 years ago

Habarileo

Ufaransa yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania

Balozi wa Ufaransa nchini, Melika Berak BALOZI wa Ufaransa nchini, Melika Berak amesema kwamba taifa lake litaendeleza ushirikiano mzuri ilionao na Tanzania kwa manufaa ya pande zote mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani