Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania, Canada kushirikiana zaidi

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema, Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi ya Canada katika kuendeleza mpango wa ukuzaji wa sekta ya madini nchini hususan uchimbaji wa mafuta, gesi na madini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Canada kuendelea kushirikiana

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Canada ili kuendeleza mpango wa ukuzaji wa sekta ya gesi asilia, madini na utalii nchini. Profesa Muhongo...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania, Algeria kushirikiana zaidi

Tanzania itaanza kushirikiana na Algeria katika masuala ya kiuchumi kupitia sekta za gesi, mafuta na umeme kutokana na mafanikio makubwa yaliyofikiwa nchi hiyo kupitia rasilimali hizo.

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Canada kuboresha usafiri wa reli

WIZARA ya Uchukuzi  imefikia makubaliano ya ushirikiano na Canada kwa lengo la kuiboresha sekta ya reli hiyo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu, Monica Mwamnyange, alisema...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kufaidika na umeme jua kutoka Canada

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kushoto), ukiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme jua cha Canadian Solar katika jimbo la Ontario nchini Canada.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Canadian Solar, Brian Lu (wa tano kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge, Nishati na Madini, Mhe.Victor Mwambalaswa(Mb.) (wa tatu kushoto), Mhe.Shafin Sumar (Mb.), (wa pili kulia), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tatu kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson. Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.  Balozi mpya wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kupata mafunzo Kamisheni ya Mafuta na Gesi Canada

Serikali ya Tanzania inatarajia kutuma wataalam kwenda nchini Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), ili kupata uelewa zaidi katika masuala ya udhibiti wa mafuta na gesi nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Charles Kitwanga wakati akiongea na watendaji wa Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya Jimbo la British Columbia katika Ofisi za kamisheni hiyo zilizo katika mji wa Victoria...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inazilinda mali za Canada kwa faida gani?

Tangu kuumbwa kwa ulimwengu hadi sasa, Tanzania haijawahi kujiondoa kwenye orodha ya kundi la nchi masikini sana duniani, hii ni kwa mujibu wa ripoti tofauti zinazotolewa kila mwaka na mashirika mbalimbali yakiwemo Shirika la Fedha Duniani, Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani