TANZANIA BARA YACHAPWA NA ZAMBIA, YASHIKA NAFASI YA NNE CHALENJI
Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. Timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeshika nafasi ya nne michuano ya Kombe la Chalenji 2013 iliyofanyika nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Zambia kwa penalti 6-5. Dakika 90 za mchezo zilimalizika kwa bao 1-1. Bao la Zambia lilifungwa na Ronald Kampamba katika dakika ya 51 kabla ya Kili Stars kusawazisha kupitia kwa Mbwana Samatta dakika ya 65...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Tanzania yashika nafasi ya 100 Fifa
9 years ago
MichuziTANZANIA YASHIKA NAFASI YA 82 KWA UHURU WA KIUCHUMI
Na Zainabu Hamis, Globu ya JamiiTANZANIA ni miongoni mwa nchi 100 Duniani zilizo huru Kiuchumi, pia imeshika nafasi ya 82 ya Uhuru wa Kiuchumi Dunia kwa...
11 years ago
MichuziTIMU YA U15 TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI AYG
Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa SSKB jijini Gaborone ambapo kwa matokeo hayo Tanzania imetwaa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili. Nigeria ndiyo ilishika nafasi ya kwanza na kutwaa medali ya dhahabu.
Tanzania imemaliza ikiwa na pointi kumi ambapo ilishinda mechi tatu,...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Tanzania yashika nafasi ya sita kwa wagonjwa wengi wa TB Afrika
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Tanzania yashika nafasi ya pili katika malipo kupitia simu za mkononi
Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi na huduma za kipekee zilizo na manufaa kwa jamii.
Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za malipo kupitia simu za mkononi (Online payments), malipo haya yameongezeka kwa kasi kubwa kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel...
9 years ago
MichuziTANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA UWAZI WA BAJETI KWA NCHI ZA A.MASHARIKI
9 years ago
Bongo503 Oct
Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136
11 years ago
GPLZAMBIA NAO WATINGA NUSU FAINALI CHALENJI
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kili Stars yapangwa na Ethiopia, Zambia Chalenji
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopia pamoja na Zambia katika michuano ya Chalenji mwaka huu.