Tanzania kuchuana katika kuogelea Angola
Timu ya taifa ya kuogelea ya Tanzania itashiriki michuano ya Kanda ya 4 itakayofanyika Luanda, Angola mapema mwezi ujao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Tanzania yang’ara kuogelea
Muogeleaji wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Busu katika kipindi lazua mjadala Angola
Watayarishi wa kipindi maarufu cha televisheni nchini Angola wameomba msamaha baada ya kuonyesha wanaume wawili wakipigana busu
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Uganda na Tanzania kuchuana :kriket
Tanzania kucheza na Uganda katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Afrika Ligi Daraja la 1 itakayofanyika mjini Benoni .
10 years ago
VijimamboBALOZI MPYA WA ANGOLA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Kriketi Vijana:Tanzania,Namibia kuchuana
Tanzania itacheza na Namibia katika mechi ya ufunguzi ya Ligi ya Kriketi ya Afrika kwa vijana wa kiume umri chini ya miaka 19
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Tanzania bara kuchuana na wenyeji Ethiopia
Hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishwa leo kwa michezo miwili.
9 years ago
Habarileo08 Dec
Tanzania, nyingine 17 kuchuana usafi duniani
TANZANIA imejumuishwa kwenye nchi 18 zinazoshindanishwa kwa miji yake jinsi ilivyoshiriki katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kupunguza hewa ukaa, ambapo Bara la Afrika limewakilishwa na nchi tatu.
10 years ago
BBCSwahili29 Dec
Timu nane zaTennis kuchuana Tanzania
Michuano ya tennis ya Afrika kwa watoto chini ya miaka 12, 14 na 16 itafanyika Tanzania
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Phelps kuogelea tena.
Mshindi wa nishani nyingi za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki Michael Phelps
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania