Tanzania kufungua Ubalozi nchini Kuwait
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Waziri Membe alifanya ziara ya siku moja nchini humo tarehe 14 Aprili, 2015 kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.
Waziri Membe akimtambulisha kwa Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Mkurugenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTANZANIA KUFUNGUA UBALOZI KUWAIT
10 years ago
Habarileo13 May
Tanzania kufungua ubalozi Algeria
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa Tanzania itafungua Ubalozi nchini Algeria, kwa nia ya kuimarisha mahusiano thabiti ya kirafiki na ya kihistoria tangu yalipoanzishwa na waanzilishi wa mataifa hayo, Hayati Julius Kambarage Nyerere na Hayati Ahmed Ben Bella.
11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziMARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
5 years ago
MichuziBALOZI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Balozi Mubarak Mohammed Alsehaijan akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge walipokutanakatika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, amekutana...
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Marekani kufungua ubalozi wake Cuba
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Israel kufungua ubalozi milki za kiarabu
10 years ago
MichuziUbalozi wa Tanzania nchini Oman unastahili pongezi