Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUFUNGUA UBALOZI KUWAIT

Waziri Membe akimtambulisha kwa Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Waziri Membe alifanya ziara ya siku moja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzania kufungua Ubalozi nchini Kuwait

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah,  Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait. Waziri Membe alifanya ziara ya siku moja nchini humo tarehe 14 Aprili, 2015 kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.
 Waziri Membe akimtambulisha kwa Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah,  Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania kufungua ubalozi Algeria

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa Tanzania itafungua Ubalozi nchini Algeria, kwa nia ya kuimarisha mahusiano thabiti ya kirafiki na ya kihistoria tangu yalipoanzishwa na waanzilishi wa mataifa hayo, Hayati Julius Kambarage Nyerere na Hayati Ahmed Ben Bella.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kufungua ubalozi wake Cuba

Marekani inasema kuwa itafungua ubalozi wake nchini Cuba kuanzia mwezi Aprili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Israel kufungua ubalozi milki za kiarabu

Israel imesema kuwa itafungua afisi za kibalozi katika milki za kiarabu ingawa mataifa hayo mawili hayana uhusiano wa kibalozi.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA KUWAIT FUND, KUWAIT CITY

Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa mkutano siku ya Jumatano  tarehe 15 Aprili 2015.  Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamojan na Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (kati) pamoja na Balozi Yahya Simba, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje. : Waziri Membe...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Mubarak Mohammed Faleh Alsehaijan alipomtembelea katika ofisi za wizara Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili 2020.

Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...

 

10 years ago

Habarileo

Kuwait yaipa Tanzania bil. 56/- za maji Same, Mwanga

SERIKALI ya Kuwait kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa nchi hiyo, imetoa Sh bilioni 56.1 zitakazowezesha kusaidia katika mradi mkubwa wa maji katika wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) 25 -31 JULAI 2014

 Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) KUANZA 25 -31 JULAI 2014

Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani