Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA MITINDO HOUSE YASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 7

 Sehemu ya Watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Tanzania Mitindo Houshe chini yake Mwanamitindo nguli hapa nchini,Khadija Mwanamboka wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasimamizi wao wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 7 ya kituo hicho iliyofanyika mwishoni mwa wiki,Msasani jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya watoto hao wakifurahia kwa pamoja michezo mbali mbali iliyokuwepo.
 Taswira ya mtoto akiwa kachora uso wake.
Mlezi wa Tanzania Mitindo House,Mwanamitindo,Khadija Mwanamboka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Miss Universe Tanzania washiriki fashion show Moscow ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

 Betty Boniface Nelly Kamwelu
Warembo wawili wa waliowahi kushinda taji la Miss Universe, Nelly Kamwelu na Betty Boniface leo (Jumamosi) watapanda jukwaani mjini Moscow, Urusi kushiriki katika maonyesho ya mavazi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Warembo hao waliondoja nchini juzi na tayari wapo mjini Moscow kwa ajili ya maonyesho hayo ambayo pia yatashirikisha waonyesha mavazi mbali mbali wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKIANA NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea msafara wa pikipiki wa vijana wa CCM (UVCCM) ambao wanaendesha mbio za Uzalendo Tanzania zikiwa na lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar jana tarehe 07-04-2014. Mbio hizo za kitaifa zinahusisha msafara wa pikipiki tano zinazoongozwa na viongozi watatu wa UVCCM ambao wanakuwa kwenye gari, aidha zinashirikisha wadau mbalimbali wa UVCCM katika kuzifanikisha. Mbio hizo  zinahimiza vijana kudumisha...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA NANE YA MAFANIKIO

 Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Fausta Msokwa akiongea na waandishi wa habari  mapema leo asubuhi jijini Dar es Salaam juu ya maadhimisho ya miaka nane ya mafanikio ya TMF. Pembeni ni Mkurugenzi wa TMF, Ernest Sungura na Afisa Mafunzo wa TMF, Radhia Mwawanga. Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, alisema Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaungana na mataifa mengine kuadhimisha miaka 70 ya usafiri wa anga duniani

Anga -1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.

Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya usafiri wa anga, (International Civil Aviation Day) ambayo huadhimishwa...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KUADHIMISHA MIAKA 70 YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa vyombo vya Habari Tanzania (TMF) kuadhimisha miaka nane ya mafanikio

tmf wMkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, ameeleza Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la madhimisho ambayo yatajumuisha maonyesho kwa ajili ya waandishi wa habari waliowezeshwa na misaada ya TMF kuonyesha kazi zao na jinsi gani zimechangia kuleta uwajibikaji na pia kuonyesha kazi ambazo zimepandisha kiwango cha mijadala ya umma katika masuala husika hususani utawala bora na haki za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yasherehekea miaka 50 ya Uhuru

Kenya inasherehekea miaka 50 ya uhuru walioupata chini ya utawala wa Uingereza.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Hennessy yasherehekea miaka 250 ya mafanikio Jburg

WATANZANIA watatu ni miongoni mwa waalikwa wa sherehe za kutimiza miaka 250 ya mafanikio ya kuanzishwa kwa kinywaji maarufu kutoka Ufaransa, Hennessy, sherehe ambayo iliyofanyika Johannesburg, Afrika Kusini hivi karibuni. Nas and CEO wa Hennessy Bernard Peillon kwenye Gala dinner New York kabla ya kuja Johannesburg Miongoni mwa washiriki hao ambao pia walijumuika katika kuonja […]

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 2

Keki iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo kusherehekea kwa pamoja.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani