Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia
![](https://1.bp.blogspot.com/-vBeveAfxw74/XnnKfc_u1cI/AAAAAAALk34/o-RfxYIGzWwoRMW7w68fJSQ1ojBaddE0ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-24%2Bat%2B7.33.25%2BAM.jpeg)
WIKI jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia.
Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo cha Sayansi na Elimu ya Ufundi chuoni hapo Dkt John John aliisihi Tume ya Sayansi na Teknolojia nchini (COSTECH) kutengeneza mfuko wa fedha kutambua na kusaidia vyuo na wanafunzi katika tafiti na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_OtleCoIhHQ/XvMxIh3FjUI/AAAAAAALvOs/rn4PFkjMPmMX37Mm8JZz5VUy4EGCj3OjgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-24%2Bat%2B1.30.35%2BPM.jpeg)
Sekta ya mawasiliano ya simu inavyoweza kuboresha ubunifu wa kiteknolojia Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-_OtleCoIhHQ/XvMxIh3FjUI/AAAAAAALvOs/rn4PFkjMPmMX37Mm8JZz5VUy4EGCj3OjgCLcBGAsYHQ/s400/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-24%2Bat%2B1.30.35%2BPM.jpeg)
Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya juhudi hizi ni sehemu ya mpango wa dira ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wakati ya viwanda ifikapo mwaka 2025.
Dira hii inaonyesha mwelekeo wa wapi nchi inakusudia kufika ifikapo mwaka 2025. Moja ya malengo makubwa ya dira hiyo ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na uchumi imara, shindani na stahimilivu.
Kuwekeza katika miundombinu ni...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/ouOQcQcfbx8/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...
10 years ago
Bongo517 Nov
Je wajua vitu vinavyoweza kukuza au kuua ubunifu wako?
9 years ago
Mwananchi02 Nov
CTI kushirikiana na Dk Magufuli kukuza viwanda
9 years ago
StarTV20 Aug
Pinda azihimizwa Nchi wanachama wa SADC kukuza viwanda
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC haina budi kuweka mkakati utakaohakikisha nchi wanachama zinakuwa na mpango mahususi wa kuendeleza viwanda kama ambavyo imekubaliwa kwenye kikao chao kilichomalizika jana.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa 35 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jijini Gaborone, Botswana.
SADC kupitia sekretarieti yake itabidi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Fn1vWcwYBBU/VJFJgBP5ULI/AAAAAAAG3uA/U_aqroLQwZc/s72-c/unnamed.jpg)
Washindi bora wa ubunifu wa program za simu wapatikana
![](http://2.bp.blogspot.com/-Fn1vWcwYBBU/VJFJgBP5ULI/AAAAAAAG3uA/U_aqroLQwZc/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Ujenzi wa bandari, viwanda kuathiri mazingira Bagamoyo
11 years ago
Habarileo25 Jul
Viwanda 3 kutozwa mil 90/- kwa kuvuruga mazingira
VIWANDA vitatu vinakabiliwa na adhabu ya faini ya Sh milioni 90 kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya kuhifadhi mazingira katika uendeshaji wake.