Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaanza vyema tenisi

Tanzania jana ilianza vizuri mashindano ya vijana ya Afrika Mashariki na Kati baada ya wachezaji wake Mernad Frank na , Emmanuel Mallay kushinda katika michezo yao ya jana kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tanzania yaanza vyema BBA, Laveda awa ‘Head of House’ wa kwanza

Shindano la Big Brother Africa Hotshots limezinduliwa Jumapili hii, jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Msimu wa mwaka huu umezinduliwa kwa washiriki wote 26 kuonesha vipaji vyao na watazamaji kuwapa marks. Mwakilishi wa Tanzania, Laveda ndiye aliyeongoza kwa kupata asilimilia 85 kwa uhodari wake wa kupiga saxophone. Ushindi huo umemfanya Big Brother amtangaze kuwa ‘mkuu wa […]

 

11 years ago

Habarileo

Mashindano ya tenisi Afrika Mashariki yaanza leo

MASHINDANO ya tenisi ya Vijana ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Azam FC yaanza vyema Kagame

TIMU ya soka Azam FC jana imeanza vyema michuano ya Kombe Kagame Cup, baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya KCCA ya Uganda, Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo wa kwanza kwa Azam FC, msimu huu uliwachukua dakika ya 12 ya kuandika bao la kwanza lililowekwa kimiani na nahodha wao John Bocco ‘Adebayor’ aliyepokea pasi ya Shomari Kapombe.

Azam, walitengeneza nafasi nyingi za katika kipindi cha kwanza, lakini ukosefu umakini kwa safu ya ushambuliaji ndio...

 

11 years ago

Mwananchi

ITF yaibeba tenisi ya Tanzania

Shirikisho la Tenisi la Kimataifa (ITF) limetoa nafasi moja ya upendeleo kwa mchezaji wa Tanzania kushiriki kwenye mashindano ya Tenisi ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 18 yaliyopangwa kufanyika mapema Machi katika nchi mbili tofauti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa tenisi wawasili Tanzania

Tanzania mwenyeji wa michuano ya tenisi ya wazi kwa nchi za ukanda wa Afrika ya Mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yataja kikosi cha tenisi .

Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha tennis Tanzania (TTA), ushiriki wao utaleta tija katika maendeleo ya mchezo huo nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania itafanya vyema michuano ya pete

Chama cha mpira wa pete Tanzania, kimesema kina matumaini timu ya taifa itafanya vizuri katika michuano ijayo ya ya Afrika .

 

10 years ago

Michuzi

BASATA wampongeza Mayunga kwa kuwakilisha vyema Tanzania

Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na Masoko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Msao Shalua (Katikati) akiongea katika halfa ya kumpongeza mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika kwa kuibuka mshindi wa mashindano hayo na kuiwakilisha vyema Tanzania . halfa hiyo ilifanyika katika ofisi za BASATA Ilala Dar es Saalam. kushoto ni meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando.Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na Masoko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Msao Shalua...

 

10 years ago

GPL

BASATA WAMPONGEZA MAYUNGA KWA KUWAKILISHA VYEMA TANZANIA

Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na Masoko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Msao Shalua (Katikati) akiongea katika halfa ya kumpongeza mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika kwa kuibuka mshindi wa mashindano hayo na kuiwakilisha vyema Tanzania, halfa hiyo ilifanyika katika ofisi za BASATA Ilala Dar es Saalam, kushoto ni meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando. Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani