Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0

Tanzania imeanza vizuri mechi ya awali ya kuania kufuzu kombe la mataifa la Afrika baada ya kufunga Zimbabwe 1 - 0.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL FC YAIBAMIZA USHINDI SC 4-3

Kikosi cha timu ya Global FC kikiwa katika picha ya pamoja. Timu ya Ushindi SC ya Mikocheni katika picha ya pamoja.…

 

10 years ago

Vijimambo

DMV YAIBAMIZA VITAMBI 3-2

Timu ya Tanzania DMV siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 ilicheza mechi ya kujipima nguvu ya kirafiki iliyochezwa Meadowbrook park. Wachezaji walioipatia ushindi Tanzania DMV alikua Saidi Mwamende, Peter Kuringe na Seif Ndossa. Timu ya Kenya VitambiTimu ya Tanzania DMVKwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

10 years ago

BBCSwahili

Equitorial Guinea yaibamiza Tunisia

Equitorial Guinea iliishinda Tunisia katika mazingira ya kutatanisha ili kufika katika semi fainali ya kombe la mataifa ya Afrika.

 

11 years ago

GPL

Mbeya City yaibamiza Prisons

Baadhi ya wachezaji wa Mbeya City wakishangilia ushindi. Na Sophia Mwaipyana, Mbeya
VIJANA wa Mbeya City wameendelea kuonyesha kuwa wapo kikazi zaidi msimu huu baada ya kutoa kipigo cha bao 1-0 kwa wapinzani wao wa mji mmoja, Tanzania Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Mbeya City ambayo imefikisha pointi 45, ilipata bao lake kupitia kwa Paul Nonga katika… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaibamiza Aston Villa 3 - 0

Arsenal jumapili wameisambaratisha Aston Villa kwa jumla ya magoli 3 - 0 katika mechi ya Ligi Kuu ya England.

 

11 years ago

GPL

IVORY COAST YAUA, YAIBAMIZA JAPAN 2-1

Mshumbuliaji wa Ivory Coast, Gervinho (kushoto) akishangilia bao lake na Didier Drogba. Keisuke Honda akiifungia Japan bao lao dakika ya 16.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania yatamba Zimbabwe

nyerere-with-ismaili-leaders

A rare photo of Arusha’s Ismaili leaders with Mwalimu Julius Nyerere taken during a community donation in the late 1960’s. (L to R) –The late Tanzanian President Julius Nyerere, Hashim Mbita, press secretary to the president, Akber Natha Hirji, a member of Ismaili regional council, Mukhi Kamrudin Hasham Jessa, Kamadia Madat Vassanji, and Moosa Janmohamed, also a member of the regional council headquartered in Moshi. The photo was taken at the guest house for the president in Arusha. The...

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Zimbabwe: Tanzania's Magufuli - a New African


IPPmedia
Zimbabwe: Tanzania's Magufuli - a New African
AllAfrica.com
JOHN Magufuli, the new President of the republic of Tanzania. What shall we call him? An African hero? Perhaps, but the trouble with the cliché African hero is that it refers, mostly, to a man frozen in collective nostalgia and maybes. An African hero ...
Can Magufuli convert potential into gains in Tanzania?NewsDay
Be thankful you are not in Malawi Dr Magufuli, President of TanzaniaNyasa Times
Uncovered rot a sign of...

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAIBAMIZA EL MERREIKH YA SUDAN 2-0 KOMBE LA MABINGWA AFRIKA

Kikosi cha El Merreikh Kikosi cha Azam leoMshambuliaji wa El Merreikh Babeker Bakri (kulia) akimtoka beki wa Azam Aggrey MorrisJohn Bocco akishangilia bao la pili la Azam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani