DMV YAIBAMIZA VITAMBI 3-2

Timu ya Tanzania DMV siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 ilicheza mechi ya kujipima nguvu ya kirafiki iliyochezwa Meadowbrook park. Wachezaji walioipatia ushindi Tanzania DMV alikua Saidi Mwamende, Peter Kuringe na Seif Ndossa. Timu ya Kenya Vitambi
Timu ya Tanzania DMVKwa picha zaidi bofya soma zaidi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Jul
10 years ago
Vijimambo12 May
STARS UNITED KUCHEZA NA VITAMBI FC MAY 30


Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC siku ya Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.
Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo itakayofanyika DMV.
Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku...
10 years ago
VijimamboVITAMBI FC YAIFUNGA STARS UNITED 3-1
Satars United
Vitambi FC
Nahodha wa timu ya Vitambi FC David (kushoto) akisalimiana na nahodha wa Stars United Dulla
11 years ago
Mwananchi28 Aug
Vitambi vyote Uwanja wa Jamhuri
11 years ago
BBCSwahili19 May
Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
10 years ago
GPLGLOBAL FC YAIBAMIZA USHINDI SC 4-3
11 years ago
Habarileo14 Oct
NHIF yasisitiza mazoezi kuondoa vitambi
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeshauri wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujenga mazoea endelevu ya kupima afya zao na kushiriki kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara ili kupunguza uzito usioendana na urefu pamoja na maumbile ya mwili na kuepuka kuwa na vitambi.
11 years ago
GPL
Mbeya City yaibamiza Prisons
11 years ago
BBCSwahili20 Sep
Arsenal yaibamiza Aston Villa 3 - 0