NHIF yasisitiza mazoezi kuondoa vitambi
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeshauri wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujenga mazoea endelevu ya kupima afya zao na kushiriki kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara ili kupunguza uzito usioendana na urefu pamoja na maumbile ya mwili na kuepuka kuwa na vitambi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Mazoezi ya kuondoa kitambi
10 years ago
Vijimambo
DMV YAIBAMIZA VITAMBI 3-2







11 years ago
Mwananchi28 Aug
Vitambi vyote Uwanja wa Jamhuri
10 years ago
VijimamboVITAMBI FC YAIFUNGA STARS UNITED 3-1
Satars United
Vitambi FC
Nahodha wa timu ya Vitambi FC David (kushoto) akisalimiana na nahodha wa Stars United Dulla
10 years ago
Vijimambo12 May
STARS UNITED KUCHEZA NA VITAMBI FC MAY 30


Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC siku ya Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.
Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo itakayofanyika DMV.
Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku...
11 years ago
Bongo Movies10 Sep
Irene Uwoya: Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi maana ni wachovu Kitandani
Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene, wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvutiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza jana kilisema:
“Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Jipu la pesa Uswisi? bomoabomoa Dar? wanawake na makalio makubwa, vitambi? #StoriKUBWA.. (+Audio)
Nakupa baadhi ya headlines zilizoguswa na Uchambuzi wa stori za Magazetini January 4 2016 mtu wangu… Mbunge Zitto Kabwe ampa jipu jingine Rais Magufuli, ni la walioweka fedha Uswisi. Bomoabomoa yadaiwa kumhujumu Rais Magufuli, baadhi ya watumishi waendesha zoezi hilo kumfanya achukiwe na waliomchagua Oktoba 2015… Matukio ya ujambazi unaofanywa kwa wateja wanaotoa pesa Benki yatia […]
The post Jipu la pesa Uswisi? bomoabomoa Dar? wanawake na makalio makubwa, vitambi? #StoriKUBWA.. (+Audio)...
5 years ago
Michuzi
Zainab -ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio kujiepusha na vitambi


NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE
OFISA Lishe wa halmashauri ya Chalinze,mkoani Pwani, Zainab Waziri ,ametoa rai kwa jamii kuacha kula ovyo bila mpangilio na kuzingatia lishe bora kwa afya ya binadamu ili kujiepusha kupata uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa kwa akinamama.
Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji uzito wa mwili,sukari ,shinikizo la damu na upimaji wa hali ya lishe, kwa watumishi wa halmashauri hiyo ,alisema wameamua kufanya zoezi hilo ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati ya...
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Uingereza yasisitiza Miraa ni haramu