Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazoezi ya kuondoa kitambi

Kutokuwa na kitambi ndio ndoto ya watu wengi kwa sasa wanaojali afya zao. Kutokana na kufumka kwa maradhi mbalimbali baadhi ya watu wamekuwa wakihangaika kutafuta njia rahisi za kupunguza ama kuondoa vitambi hivyo na uzito uliopitiliza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

10 years ago

Habarileo

NHIF yasisitiza mazoezi kuondoa vitambi

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeshauri wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujenga mazoea endelevu ya kupima afya zao na kushiriki kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara ili kupunguza uzito usioendana na urefu pamoja na maumbile ya mwili na kuepuka kuwa na vitambi.

 

9 years ago

GPL

MREMBO AMTIBU AUNT KITAMBI

Imelda mtema MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema amempa bure tiba ya kitambi staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ili kumuondolea kero aliyokuwa akiipata. Akipiga stori na gazeti hili, Fettylicious alisema miongoni mwa watu waliokuwa wakisumbuka na tatizo la kuwa na kitambi ni Aunt lakini kwa kuwa yeye lengo lake ni kuwasaidia mastaa wengi, amempa Aunt bure dawa hiyo ili wengine wamtafute....

 

10 years ago

GPL

KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA -2

LEO tunaendelea kuelezea madhara ya kitambi na tutafafanua jinsi mafuta yanavyozidi mwilini na kuathiri ini pia tutaeleza tiba yake, endelea: Utambuzi wa steatosisi hufanywa wakati mafuta yaliyo kwenye ini yanazidi asilimia 5 hadi 10 kwa uzito.
Kuwa na mafuta kwenye ini ni tatizo au linaweza kuchukuliwa kama ugonjwa mmoja ambao hutokea kwa wale hasa wanaokunywa pombe kupita kiasi. Tatizo hili licha ya kusababisha unene pia...

 

10 years ago

GPL

KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA

Kitambi ni hali ya mtu kuwa mnene na tumbo kuchomoza ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo hilo kwa kiasi kikubwa. Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa kama tutakavyoona.Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika. Zamani hata sasa baadhi ya watu wanaamini kuwa mtu akiwa na kitambi basi hali yake kiuchumi ni nzuri au ni tajiri.
Watu wengi, wamekuzwa kwa kula chipsi-mayai, mikate na vyakula vya sukari na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama za kitambi ni sawa na za uvutaji

Imeripotiwa kuwa gharama za kulea kitambi ni sawa na uvutaji sigara, unasema utafiti uliofanyika kuhusu afya.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo 10 yanayolazimisha mtu awe na kitambi

Miongoni mwa maswali ya wasomaji wetu ni juu ya watu ambao wametumia njia mbalimbali ili kuondoa uzito au unene kupita kiasi bila mafanikio. Leo daktari wetu atajadili hilo.

 

11 years ago

Michuzi

ONDOA KITAMBI KWA SIKU KUMI NA NNE.

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji  wa   dawa  mbalimbali  za  asili.   Tunayo  dawa  nzuri  ya  asili  inayo  ondoa
kitambi   ndani  ya  siku  kumi  na  nne.

Dawa  ni  ya  asili  kabisa " Pure  Herbal", haijachanganywa  na kemikali  yoyote  na  haina  side  effects  kwa  mtumiaji .

BEI  YAKE  NI  SHILINGI  ELFU  HAMSINI  TU  ( Tshs.50,000/=)

Tunapatikana jijini  Dar  Es  salaam, katika  eneo  la  CHANGANYIKEN  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.

Kwa  wasio weza  kufika...

 

10 years ago

Bongo Movies

AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!

Japokuwa hadi sasa Muigizaji  Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.

Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.

KIGAUNI CHAANIKA KILA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani