Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA -2

LEO tunaendelea kuelezea madhara ya kitambi na tutafafanua jinsi mafuta yanavyozidi mwilini na kuathiri ini pia tutaeleza tiba yake, endelea: Utambuzi wa steatosisi hufanywa wakati mafuta yaliyo kwenye ini yanazidi asilimia 5 hadi 10 kwa uzito.
Kuwa na mafuta kwenye ini ni tatizo au linaweza kuchukuliwa kama ugonjwa mmoja ambao hutokea kwa wale hasa wanaokunywa pombe kupita kiasi. Tatizo hili licha ya kusababisha unene pia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA

Kitambi ni hali ya mtu kuwa mnene na tumbo kuchomoza ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo hilo kwa kiasi kikubwa. Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa kama tutakavyoona.Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika. Zamani hata sasa baadhi ya watu wanaamini kuwa mtu akiwa na kitambi basi hali yake kiuchumi ni nzuri au ni tajiri.
Watu wengi, wamekuzwa kwa kula chipsi-mayai, mikate na vyakula vya sukari na...

 

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kitenge kinavyoweza kupendezesha mikoba na viatu

Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 15 na 30 hujihisi kupoteza mvuto wavaapo vazi la Kitenge, hii hutokana na fikra kuwa aina hiyo ya nguo inawafaa zaidi watu wenye umri mkubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kitenge kinavyoweza kuchanganywa, kuleta mvuto zaidi

Licha ya kuwa vazi la kitenge limekuwepo katika jamii za kiafrika kwa muda mrefu, lakini maboresho yanayofanyika katika mtindo huu yanaufanya kila siku kuonekana mpya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania

Ahmedabad Apollo hospital

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania  vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.

Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazoezi ya kuondoa kitambi

Kutokuwa na kitambi ndio ndoto ya watu wengi kwa sasa wanaojali afya zao. Kutokana na kufumka kwa maradhi mbalimbali baadhi ya watu wamekuwa wakihangaika kutafuta njia rahisi za kupunguza ama kuondoa vitambi hivyo na uzito uliopitiliza.

 

9 years ago

GPL

MREMBO AMTIBU AUNT KITAMBI

Imelda mtema MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema amempa bure tiba ya kitambi staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ili kumuondolea kero aliyokuwa akiipata. Akipiga stori na gazeti hili, Fettylicious alisema miongoni mwa watu waliokuwa wakisumbuka na tatizo la kuwa na kitambi ni Aunt lakini kwa kuwa yeye lengo lake ni kuwasaidia mastaa wengi, amempa Aunt bure dawa hiyo ili wengine wamtafute....

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama za kitambi ni sawa na za uvutaji

Imeripotiwa kuwa gharama za kulea kitambi ni sawa na uvutaji sigara, unasema utafiti uliofanyika kuhusu afya.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo 10 yanayolazimisha mtu awe na kitambi

Miongoni mwa maswali ya wasomaji wetu ni juu ya watu ambao wametumia njia mbalimbali ili kuondoa uzito au unene kupita kiasi bila mafanikio. Leo daktari wetu atajadili hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani