KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA
![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OnAUDPk3-P2FzYHYsvvb*c9ryWWiVJFgJFzghG903s4-7ZL*JUlNdwpK63OgjysOWa9A4ihsJ0LLOQaLXG81mCD/stomachbacteria.jpg?width=650)
Kitambi ni hali ya mtu kuwa mnene na tumbo kuchomoza ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo hilo kwa kiasi kikubwa. Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa kama tutakavyoona.Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika. Zamani hata sasa baadhi ya watu wanaamini kuwa mtu akiwa na kitambi basi hali yake kiuchumi ni nzuri au ni tajiri. Watu wengi, wamekuzwa kwa kula chipsi-mayai, mikate na vyakula vya sukari na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjalui0s*XROUQR38itcuajrux91d2DZ30A3nljpk1ufk0I2vwgsZrZM7SmlCL-5mQrmWyKgvsahdUn71F89bwJA/stomachbacteria.jpg)
KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA -2
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AeUgs9mNexw/VYGjNLwsONI/AAAAAAAAC7I/n2WABUSkPFk/s72-c/kitambi.jpg)
FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI
![](http://4.bp.blogspot.com/-AeUgs9mNexw/VYGjNLwsONI/AAAAAAAAC7I/n2WABUSkPFk/s640/kitambi.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtimGFeM6Ac/VYGjaqQ6mzI/AAAAAAAAC7Q/JFI22eEQnAA/s640/neemaherbalist.jpg)
Kwa upande wa wanaume seli hizo...
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Kitenge kinavyoweza kupendezesha mikoba na viatu
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Kitenge kinavyoweza kuchanganywa, kuleta mvuto zaidi
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.
Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Mazoezi ya kuondoa kitambi
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/aunt1.jpg?width=650)
MREMBO AMTIBU AUNT KITAMBI
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Gharama za kitambi ni sawa na za uvutaji
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Mambo 10 yanayolazimisha mtu awe na kitambi