MREMBO AMTIBU AUNT KITAMBI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/aunt1.jpg?width=650)
Imelda mtema MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema amempa bure tiba ya kitambi staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ili kumuondolea kero aliyokuwa akiipata. Akipiga stori na gazeti hili, Fettylicious alisema miongoni mwa watu waliokuwa wakisumbuka na tatizo la kuwa na kitambi ni Aunt lakini kwa kuwa yeye lengo lake ni kuwasaidia mastaa wengi, amempa Aunt bure dawa hiyo ili wengine wamtafute....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!
Japokuwa hadi sasa Muigizaji Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.
Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.
KIGAUNI CHAANIKA KILA...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AeUgs9mNexw/VYGjNLwsONI/AAAAAAAAC7I/n2WABUSkPFk/s72-c/kitambi.jpg)
FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI
![](http://4.bp.blogspot.com/-AeUgs9mNexw/VYGjNLwsONI/AAAAAAAAC7I/n2WABUSkPFk/s640/kitambi.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtimGFeM6Ac/VYGjaqQ6mzI/AAAAAAAAC7Q/JFI22eEQnAA/s640/neemaherbalist.jpg)
Kwa upande wa wanaume seli hizo...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Mazoezi ya kuondoa kitambi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OnAUDPk3-P2FzYHYsvvb*c9ryWWiVJFgJFzghG903s4-7ZL*JUlNdwpK63OgjysOWa9A4ihsJ0LLOQaLXG81mCD/stomachbacteria.jpg?width=650)
KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjalui0s*XROUQR38itcuajrux91d2DZ30A3nljpk1ufk0I2vwgsZrZM7SmlCL-5mQrmWyKgvsahdUn71F89bwJA/stomachbacteria.jpg)
KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA -2
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Gharama za kitambi ni sawa na za uvutaji
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Mambo 10 yanayolazimisha mtu awe na kitambi
11 years ago
MichuziKITAMBI NOMA ILIPOONYESHANA KAZI NA USHIRIKA VETERANI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gF9JfLwYxjM/Ux2ZDQ14VsI/AAAAAAAFSpI/U59sgiN1y5s/s72-c/neemaherbalist.jpg)
ONDOA KITAMBI KWA SIKU KUMI NA NNE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-gF9JfLwYxjM/Ux2ZDQ14VsI/AAAAAAAFSpI/U59sgiN1y5s/s1600/neemaherbalist.jpg)
kitambi ndani ya siku kumi na nne.
Dawa ni ya asili kabisa " Pure Herbal", haijachanganywa na kemikali yoyote na haina side effects kwa mtumiaji .
BEI YAKE NI SHILINGI ELFU HAMSINI TU ( Tshs.50,000/=)
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, katika eneo la CHANGANYIKEN karibu na CHUO CHA TAKWIMU.
Kwa wasio weza kufika...