Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaporomoka uzalishaji korosho Afrika

>Tanzania imeporomoka hadi nafasi ya tatu kwa uzalishaji wa korosho kwa nchi za Afrika kutokana na kukosa viwanda vya kubangulia zao hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sababu za uzalishaji korosho kuporomoka mkoani Mtwara

Licha ya miaka mingi Mtwara kusifika kwa korosho, uzalishaji wa zao hilo sasa unaporomoka kila kukicha.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ABAINISHA TAARIFA YA UZALISHAJI WA KOROSHO, SERIKALI YAINGIZA ZAIDI YA TRILIONI 3.3

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa ya miaka minne ya uzalishaji wa zao la Korosho nchini ambapo amebainisha kuwa uzalishaji umeongezeka maradufu. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya KilimoWAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga (Mb) ametoa taarifa ya uzalishaji wa zao la Korosho katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo amebainisha kuwa uzalishaji...

 

11 years ago

GPL

TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.

Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.

Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu  cha Ardhi (ARU).


Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho

1.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa mifugo Afrika wakutana jijini Tanga kujadili uzalishaji wa maziwa

Wataalamu wa mifugo kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamekutana jijini Tanga kujadili namna watakavyoweza kuongeza uzalishaji wa maziwa na bidhaa zinazotokana na maziwa kati ya nchi hizo.

Wataalamu hao wanatoka Misri, Ghana, Zimbabwe, Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania.

Tanzania ina ngombe wa maziwa laki 750, licha ya kuwa na ngombe hao lakini jamii bado imekuwa na mwitikio mdogo wa unywaji wa maziwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani FAO, mahitaji ya mtu mmoja kwa mwaka ni lita 200...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania hatarini kupoteza soko la korosho duniani

Wakulima wa zao la korosho nchini wako hatarini kupoteza soko duniani kufuatia udanganyifu unaodaiwa kufanyika katika maghala ya kuhifadhi zao hilo wakati zikisubiri kusafirishwa kwenda nje.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania kuongeza uzalishaji wa asali

Tanzania inajipanga kuongeza uzalishaji na pato litokanalo na mazao ya nyuki kutoka wastani wa tani 19,000 za asali na tani 1,266 za nta hadi kufikia tani 138,000 za asali na tani 9,200 za nta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani