Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania:Uchumi wa Raia Changamoto

Utafiti nchini Tanzania umebaini kuwa ukuaji wa uchumi hauna mchango katika maendeleo ya mtu wa kawaida

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Raia wa China aunganishwa kesi ya uhujumu uchumi

Raia wa China, Li Ling Ling ameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi kwa  kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh 267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi: Sekta muhimu katika kukuza uchumi, yenye changamoto lukuki

Ujenzi ni miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi sana nchini. Sanjari na sekta za mawasiliano, viwanda, uchukuzi na huduma, ujenzi nayo kwa pamoja inachangia ukuaji wa uchumi wa taifa kwa asilimia saba.

 

9 years ago

Michuzi

Raia wanne wa China wahukumiwa kutumikia miaka 20 jela kila mmoja kwa Uhujumu uchumi mkoani Mbeya


 Washatkiwa  wanne wa China wakipanda karandinga baada ya kuhukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Zaidi ya shilingi bilioni 10 baada ya kukutwa na makosa matatu ya kuhujumu uchumi. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Msangi akiwa na maafisa wake pamoj na Pembe za Faru walizokamatwa nazo  rai wanne wa China katika mpaka wa Kasumulu wilayani  Kyela mkoani Mbeya.Raia wanne wa China ambao wamehukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya

Watuhumiwa wakifikishwa mahakamani. Pembe za Faru walizo kamatwa nazo watuhumiwa hao wanne rai wa China katika mpaka wa Kasumulu Kyela.

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini  baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.

Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania

DSCI0119

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

10 years ago

Mwananchi

Muziki wa Tanzania na changamoto zake (2)

Licha ya kuwepo kwa wanamuziki wenye vipaji, muziki wenye asili ya Kitanzania umeonekana kupotea kwenye anga la tasnia hiyo ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na wadau kadhaa kupingana na nadharia hiyo lakini kimtazamo ndiyo ukweli halisi. Endelea…

 

9 years ago

Michuzi

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.
Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa kampuni ya Magazeti ya Raia Mwema.

KATIBU wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani