TANZANITE KUWAKABILI YOUNG SHE-POLOPOLO JUMAMOSI

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo) katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za U-20 za Dunia mwaka 2016.
Mechi kati ya Tanzanite dhidi ya Young She-Polopolo kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 20 itachezwa katika uwanja wa Azam Complex - Chamazi majira ya saa 10 kamili jioni.
Kikosi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANZANITE KUWAFUATA YOUNG SHE-POLOPOLO KESHO
Tanzanite inayowania kufuzu kwa Fainali za Kombe Duniwa mwaka 2016 nchini Papua New Guinea, itacheza mchezo huo wa marudano siku ya jumamosi tarehe 25 Julai, jijini Lusaka.
Katika mchezo wa awali uliofanyika takribani wiki mbili zilizopita, Tanzanite ilipoteza mchezo wake...
10 years ago
VijimamboTAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi21 Feb
RHINO RANGERS WATUA SALAMA BUKOBA, KESHO JUMAMOSI UWANJANI KAITABA KUWAKABILI KAGERA SUGAR



10 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.

The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Twiga Stars kuikabili She-polopolo
11 years ago
Michuzi18 Feb
10 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
10 years ago
Bongo519 Oct
Music: Young Scooter Feat. Young Thug — We Ready