Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TARI YACHAGUA VIWANJA VYA NANENANE SIMIYU KUWA KITUO CHA UENEZAJI TEKNOLOJIA


Na Stella Kalinga, Simiyu RS.
Kituo cha utafiti wa kilimo nchini (TARI) kimechagua eneo la viwanja vya maonesho ya nane nane vilivyopo  kata ya  Nyakabindi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kuwa kituo endelevu cha uenezaji wa teknolojia lengo likiwa kuwawezesha  wakulima kupata  huduma za kilimo kwa mwaka mzima.
Hayo yamebainishwa na Bibi. Mshaghuley Ishika kutoka TARI Dodoma kwenye kikao cha maandalizi nane nane kilichofanyika Juni 15, 2020 kwenye jengo la mkoa wa Simiyu lililopo kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO BIASHARA 2020 TARI ILONGA, AGUSWA NA KASI YA TEKNOLOJIA KWENYE KITUO


Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Taifa, Dk. Yohana Budeba, alipowasili kufungua Maonesho ya Kilimo Biashara 2020 yaliyofanyika kwenye Kijiji cha Majambaa Kata ya Msowero, Kilosa mkoani Morogoro jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Dk. Geofrey Mkamilo.



Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Ilonga, Dk.Joel Meliyo...

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA REDIO 5 NDANI YA VIWANJA VYA 8 8 JIJINI ARUSHA

Taswira katika banda la Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha katika viwanja vya nane nane njiro ,
Katikati niMeneja masoko wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio5 Sarah Keiya kushoto mtangazaji wa kituo hicho Godfrey Thomas na kulia ni Dj Ibraah anayesababisha pande hizoDj Ibraah akifanya yake kwenye moja na mbiliKushoto ni Goodluck Kissanga ,Godfrey Thomas watangazaji wa kituo hicho,katikati ni Meneja masoko wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 chashinda nafasi ya kwanza maonyesho ya Nanenane Arusha

 

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akikabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Meneja masoko na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania kuwa kituo cha usuluhishi

>Tanzania inatarajia kuzindua kituo cha kimataifa cha usuluhishi wa migogoro ya kibiashara kutokana na kukua kwa sekta ya uwekezaji ikiwamo mafuta na gesi nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lushoto kuwa kituo cha uzalishaji matunda

SERIKALI imeazimia kuifanya Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga kuwa kituo kikuu cha uzalishaji wa matunda na mbogamboga nchini kutokana na kuzalisha kwa wingi mazao hayo hadi kuuza nje ya nchi....

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kituo cha kudhibiti magonjwa cha AU chaitaka Tanzania kutoa takwimu

Zimeshatimu wiki mbili bila Tanzania bara kutoa takwimu mpya za corona.

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha UDOM kuwa na mashine 40 za kusafisha figo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.KITUO cha Uchunguzi wa maradhi cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajia kuwa na mashine za kisasa 40 za kusafisha figo pia kitakuwa kituo cha kwanza kubadilisha figo nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha mabasi Dodoma kuwa nje ya mji

WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani