Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAS wamwomba mafuta Rais Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete, ameombwa kuziagiza halmashauri zote nchini kuanza kutenga bajeti kwa ajili ya kununua mafuta na losheni za watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Kauli hiyo ilitolewa jana na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbagala wamwomba Kikwete

Zaidi ya waathirika 1,300 wa mabomu yaliyolipuka Mbagala na kusababisha vifo na uharibifu wa mali, wamemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia ili wapate fidia ya mali zao kama alivyokuwa ameahidi alipowatembelea.

 

9 years ago

Michuzi

WAZEE WAMWOMBA RAIS DKT. MAGUFURI AWAKUMBUKE

Wazee waishio kata ya Kimandolu wilaya ya Arusha mkoani Arusha wamemuomba Rais John Pombe Magufuli awakumbuke wazee kwa kuhakikisha kuwa wanapata huduma bora za afya ,lishe bora na kupata mafao ya uzeeni kutokana na mchango wao katika ujenzi wa taifa kupitia sekta binafsi na za serikali tangu nchi ipate uhuru.
Wazee hao ambao wanaishi katika hali ngumu za kimaisha na wengine kutokua na uhakika wa milo mitatu huku wakikabiliwa na jukumu la kulea familia zao pamoja na wajukuu licha ya uzee...

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO WAMWOMBA RAIS MAGUFULI KUAMURU ZEC KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR

CHAMA Chama cha ACT Wazalendo kimemwomba Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John  Magufuli  ahakikishe Tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itangaze matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu ili walioshinda watangazwe na waapishwe kwaajili ya kuanza kazi katika serikali ya Zanzibar ikiwa mpaka sasa  Zanzibar haina Serikali.
Zitto amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) hakuwa na mamlaka yoyote ile katika tume hiyo ya kukufuta  matokeo ya uchaguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Nigeria kuwa waziri wa mafuta

Rais mpya wa Nigeria Jenerali Muhammadu Buhari atahudumu pia kama waziri wa mafuta.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasanii wamwomba JK awasaidie kupata mirabaha

>Giza nene bado limetanda kwa wasanii kuhusu hakimiliki ya kazi zao kutokana na Chama  cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kukiri wazi kwamba wameshindwa kukusanya mirahaba ya wasanii kupitia vyombo vya matangazo, zikiwemo redio na televisheni, kutokana na kukosa mitambo ya kisasa ya kufuatilia kazi hizo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani