Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbagala wamwomba Kikwete

Zaidi ya waathirika 1,300 wa mabomu yaliyolipuka Mbagala na kusababisha vifo na uharibifu wa mali, wamemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia ili wapate fidia ya mali zao kama alivyokuwa ameahidi alipowatembelea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TAS wamwomba mafuta Rais Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete, ameombwa kuziagiza halmashauri zote nchini kuanza kutenga bajeti kwa ajili ya kununua mafuta na losheni za watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Kauli hiyo ilitolewa jana na...

 

10 years ago

Spyghana.Com

President Kikwete toured Mwanamtitu Bridge in Mbagala


spyghana.com
President Kikwete toured Mwanamtitu Bridge in Mbagala
spyghana.com
President Kikwete has toured Mwanamtitu Bridge in Mbagala and the Jangwani flood-hit areas as rains pound Dar el Salaam City. He was there to inspect the extent of damage to the infrastructure and displacement of residents as caused by the rains.
Dar flood victims sheltering in bus stations for eviction todayIPPmedia

all 2

 

11 years ago

Michuzi

mama salma kikwete azindua chama cha umoja wa wanawake wa mbagala

   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live    Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa  uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasanii wamwomba JK awasaidie kupata mirabaha

>Giza nene bado limetanda kwa wasanii kuhusu hakimiliki ya kazi zao kutokana na Chama  cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kukiri wazi kwamba wameshindwa kukusanya mirahaba ya wasanii kupitia vyombo vya matangazo, zikiwemo redio na televisheni, kutokana na kukosa mitambo ya kisasa ya kufuatilia kazi hizo

 

9 years ago

Habarileo

Singida wamwomba Magufuli siku ya Ukimwi

WAKATI Rais mteule, Dk John Magufuli anaapishwa leo kushika wadhifa huo rasmi, mkoa wa Singida umemwomba awe mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika kitaifa mjini hapa, Desemba mosi mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

WAZEE WAMWOMBA RAIS DKT. MAGUFURI AWAKUMBUKE

Wazee waishio kata ya Kimandolu wilaya ya Arusha mkoani Arusha wamemuomba Rais John Pombe Magufuli awakumbuke wazee kwa kuhakikisha kuwa wanapata huduma bora za afya ,lishe bora na kupata mafao ya uzeeni kutokana na mchango wao katika ujenzi wa taifa kupitia sekta binafsi na za serikali tangu nchi ipate uhuru.
Wazee hao ambao wanaishi katika hali ngumu za kimaisha na wengine kutokua na uhakika wa milo mitatu huku wakikabiliwa na jukumu la kulea familia zao pamoja na wajukuu licha ya uzee...

 

9 years ago

StarTV

ACT Wazalendo wamwomba Dk. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibari

 

Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro wa Zanzibar na hatimaye matokeo ya uchaguzi yafahamike na mshindi atangazwe.

Kiongozi wa Chama hicho ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Ujiji Zitto Kabwe amesema Rais asiposhughulikia suala hilo linaweza kusababisha mpasuko mkubwa.

 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kazi anazozifanya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZEE TAFF WAMWOMBA WAKIFAMBA AGOMBEE TENA NAFASI YA URAS


Msemaji wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Ahmed Olotu (mzee Chilo) akisoma waraka wa kupinga uamuzi wa Rais wa Shirikisho hilo Simon Mwakifwamba kwa kutogombea tena nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO). Kushoto ni Mzee Ramadhani Ditopile.  Mzee wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Hamisi Kagaye (kushoto) akichangia mada wakati wa kupinga uamuzi wa Rais wa Shirikisho hilo Bwana Simon Mwakifwamba...

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO WAMWOMBA RAIS MAGUFULI KUAMURU ZEC KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR

CHAMA Chama cha ACT Wazalendo kimemwomba Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John  Magufuli  ahakikishe Tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itangaze matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu ili walioshinda watangazwe na waapishwe kwaajili ya kuanza kazi katika serikali ya Zanzibar ikiwa mpaka sasa  Zanzibar haina Serikali.
Zitto amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) hakuwa na mamlaka yoyote ile katika tume hiyo ya kukufuta  matokeo ya uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani