Wasanii wamwomba JK awasaidie kupata mirabaha
>Giza nene bado limetanda kwa wasanii kuhusu hakimiliki ya kazi zao kutokana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kukiri wazi kwamba wameshindwa kukusanya mirahaba ya wasanii kupitia vyombo vya matangazo, zikiwemo redio na televisheni, kutokana na kukosa mitambo ya kisasa ya kufuatilia kazi hizo
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RR-aBPwVDU8/VTJgSBJABBI/AAAAAAAHR1I/Ny3HiJeP8IE/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni
Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Obama aomba pesa awasaidie waasi
11 years ago
CloudsFM![](http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2014/05/28/140528164244_barak_obama_624x351_reuters.jpg)
Rais Obama aomba pesa awasaidie waasi
Rais wa Marekani, Barrack Obama ameliomba Bunge la Congress kiasi cha dola milioni mia tano kwa ajili ya kugharamia mafunzo na kuwapatia silaha Waasi wa Syria.
Bado haijajuliakana ni aina gani ya msaada wa kijeshi ambao Marekani itautoa japo kulikuwa na maombi ya waasi hao wa Syria kuhusu kupewa makombora ya kubeba ya kutungulia ndege ambayo yalitupiliwa mbali kwa kuhofia silaha hizo zisiwaendee wanamgambo wa makundi ya kigaidi.
Ikiwa Bunge hilo litaridhia...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Mbagala wamwomba Kikwete
9 years ago
Habarileo05 Nov
Singida wamwomba Magufuli siku ya Ukimwi
WAKATI Rais mteule, Dk John Magufuli anaapishwa leo kushika wadhifa huo rasmi, mkoa wa Singida umemwomba awe mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika kitaifa mjini hapa, Desemba mosi mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
TAS wamwomba mafuta Rais Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete, ameombwa kuziagiza halmashauri zote nchini kuanza kutenga bajeti kwa ajili ya kununua mafuta na losheni za watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Kauli hiyo ilitolewa jana na...
9 years ago
MichuziWAZEE WAMWOMBA RAIS DKT. MAGUFURI AWAKUMBUKE
Wazee hao ambao wanaishi katika hali ngumu za kimaisha na wengine kutokua na uhakika wa milo mitatu huku wakikabiliwa na jukumu la kulea familia zao pamoja na wajukuu licha ya uzee...
9 years ago
StarTV12 Nov
ACT Wazalendo wamwomba Dk. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibari
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro wa Zanzibar na hatimaye matokeo ya uchaguzi yafahamike na mshindi atangazwe.
Kiongozi wa Chama hicho ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Ujiji Zitto Kabwe amesema Rais asiposhughulikia suala hilo linaweza kusababisha mpasuko mkubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kazi anazozifanya...