TASAF yatoa sh. 17.5 milioni kwa tarafa ya Unyakumi Singida
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mungung’una tarafa ya Umyakumi manispaa ya Singida, wakipokea fedha kutoka TASAF ambazo zinatolewa na mpango wa kunusuru kaya maskini.
Wakazi 512 wa mtaa wa Munung’una kata ya Minga tarafa ya Unyakumi manispaa ya Singida, ambao wametambulika kwenye kaya maskini, wamenufaika kwa kupewa na TASAF manispaa zaidi ya shilingi 17.5 milioni zikiwa ni katika mpango wa kunusuru kaya maskini.
Msaada huo kutoka serikalini,kima cha chini kilikuwa shilingi 20,000 na cha juu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
9 years ago
MichuziTASAF YATOA VYETI KWA WAFANYAKAZI WAKE BORA WA IDARA ZA TAASISI HIYO KWA MWAKA 2015.
Wataalamu waelekezi wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya TASAF.
PICHAZ AIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Habarileo29 Nov
TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini
SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.
5 years ago
MichuziKAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU†YAWA CHACHU YA MAENDELEO KWA MNUFAIKA WA TASAF MKOANI SINGIDA
James Mwanamyoto - Singida
Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), Bibi Edith Brayson Makala mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Manispaa ya Singida, Mtaa wa Sokoine, amesimamia vema Kauli Mbiu ya HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambayo imemuwezesha kuinua uchumi wa familia yake kupitia ruzuku ya TASAF.
Akitoa ushuhuda jana, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kamati hiyo...
11 years ago
MichuziTASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.
Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...
5 years ago
MichuziSHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA
11 years ago
Habarileo15 Jul
Dar yatoa milioni 7/- kwa wajasiriamali
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Mipango Miji imetoa Sh milioni saba, kama mikopo kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali.
5 years ago
MichuziIMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...