Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWA FC KUJIPIMA NA BAOBAB SEKONDARI JUNI 5 MWAKA HUU.

 kikosi cha baobabMchezaji wa timu ya soka wa waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa fc), Martin Peter (Jezi ya kijani kulia) akipambana na mmoja wa wachezaji wa Timu ya Makipa, Ivo Mapunda.
Na Mwandishi wetuTIMU ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC) Ijumaa hii itacheza mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya timu ya wafanyakazi wa shule ya sekondari ya Baobab ya Bagamoyo.
Mchezo huo umepangwa kuanza saa 10.00 jioni kwenye uwanja wa Shule ya sekondari ya Baobab na mgeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taswa FC kujipima na Baobab Sekondari

taswa fc

Mchezaji wa timu ya soka wa waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC), Martin Peter (jezi ya kijani kulia) akipambana na mmoja wa wachezaji wa timu ya makipa, Ivo Mapunda.

Baobab Staff pic1-1

Kikosi cha Baobab.

Na Mwandishi wetu

TIMU ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC) Ijumaa hii itacheza mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya timu ya wafanyakazi wa shule ya sekondari ya Baobab ya Bagamoyo.

Mchezo huo umepangwa kuanza saa 10.00 jioni kwenye uwanja wa shule ya sekondari ya Baobab na...

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16 MWAKA HUU

Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando. UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), utafanyika Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Uamuzi huo ulifikiwa na kikao cha Kamati ya Utendaji ya TASWA  kilichofanyika Dar es Salaam jana kujadili masuala mbalimbali ya chama na waandishi wa habari za michezo kwa ujumla. Kikao kilikubaliana kuwa uchaguzi ufanyike kwa katiba ya zamani, kwani mchakato wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

WANANCHI jitokezeni katika kushiriki  tamasha la Bagamoyo historical Marathoni linatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu tamasha litakalo fanyika Wilaya Bagamoyo.


 Hayo yamesemwa na  Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment Dominic Mosha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Iadara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.


Mosha alisema kuwa Tamasha la mwaka huu  litakuwa na kauli mbiu ya  “ANZA KUKIMBIA, UJIKINGE NA MAGONJWA...

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi  wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na  Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
 Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA BAGAMOYO JUNI 14 MWAKA HUU

 Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment, Dominic Mosha katikati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na  tamasha la Historical Marathoni  katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Meneja mawasiliano wa kampuni ya Vision Investment Dorah Raymond na kulia ni Meneja wa Fedha wa kampuni ya  Vision Investment Fatma Mfundo.  
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika  mkutano wa kutangazwa kwa Tamasha la Historical Marathoni litakalofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAANZAUSAJILI WA WACHEZAJI KUANZA JUNI 15 MWAKA HUU.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 98TAREHE 15 JUNI, 2015TAIFA STARS YAFUNGWA NA MISRITimu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa mabao 3 - 0 na wenyeji Misri.
Taifa Stars ilicheza vizuri kipindi cha kwanza na hasa sehemu ya ulinzi ilifanya kazi ya ziada kuokoa mashambulizi ya washambuliaji wa timu ya Misri, na kupelekea...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.

 Mkuu wa mashindano ya Baiskeli na Barozi wa Umoja wa Ulaya Filiberto Sebregondi akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani)katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Ulaya jijini Dar es Salaam leo. kushoto ni Mratibu wa Msafara wa Mkuu wa Operesheni ya umoja wa Ulaya, Eric Beaume.Naibu Mhamasishaji Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Umoja wa Ulaya, Godlove Stephen akizungumza na waandishi wa habari hawapo hewani kuhusiana na mashindano ya baiskeli yatakayofanyika Juni 14 mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani