Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA. MHE.SHAMSI VUAI NAHODHA

" Karibu na asante kwa kuja kututembelea" Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika Ofisi za Tanzania Umoja wa Mataifa.Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHAMSI VUAI NAHODHA: NILIJISHANGAA KUTEULIWA WAZIRI KIONGOZI

Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha. Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwake baada ya vyama vya CCM na CUF kuunda serikali hiyo bado zipo. Katika mahojiano haya maalum kati ya kiongozi huyo na gazeti hili yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar, Nahodha amezungumzia mengi kuhusu...

 

5 years ago

CCM Blog

SHAMSHI VUAI NAHODHA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe agombee urais Zanzibar wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MCHAKATO KURA ZA MAONI CCM ZANZIBAR: Vuai Nahodha, Prof. Mnyaa, Dkt. Mwinyi, Saada Mkuya, Dkt. Mwinyihaji Makame, Haji Omari Kheri, waibuka kidedea

 MCHAKATO wa kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa CCM Zanzibar watakaowania nafasi za  Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawawakilishi (BLW) na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, uliofanyhika jana (Agosti 01, 2015) mikoani mote.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Afisi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe. Vuai Ali Vuai, imesema kuwa matokeo ya kinyang’anyiro hicho, yameoonyesha baadhi ya vigogo waliokuwa wakitegemewa kuibuka na ushindi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai

33

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Matukio ya kutishia amani ya nchi  na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu  wakazi wa maeneo yao.

Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu - Vuai Ally Vuai

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa chama hicho kwa  mabalozi (viongozi wa mashina) wa wilaya ya Lindi mjini.
Vuai...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA BIRTHDAY YA MHE. SUGU

Shangwe baada ya mshumaa kuwaka wakati wa sherehe ya siku ya kuzaliwa Mhe. Sugu (kulia). Mshumaa ukiwashwa. Pichani juu ni taswira mbalimbali za sherehe ya siku ya kuzaliwa Mbunge wa Mbeya Mjini…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA MHE. MEMBE NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao alipokutana nae kwa mazungumzo kwenye Jumba la Mikutano la Kitaifa la China maarufu kama People's Great Hall mjini Beijing, China. Mhe. Membe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Mhe. Membe na Mhe. Yuanchao wakiendelea na mazungumzo. Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara...

 

11 years ago

Mwananchi

Vuai apinga hoja za Maalim Seif

Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa ikitimiza miaka mitatu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wananchi wa Zanzibar kamwe hawatashawishika kumchagua Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad kwa madai kuwa hana utashi na uwezo wa kuwaunganisha Wazanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

Vuai aionya CUF kuhusu Muungano

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar, Vuai Ali Vuai amekitahadharisha Chama cha Wananchi (CUF) kijue kwamba Muungano ukivunjika basi Zanzibar nayo haitokuwa salama na itasambaratika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani