Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA BIRTHDAY YA MHE. SUGU

Shangwe baada ya mshumaa kuwaka wakati wa sherehe ya siku ya kuzaliwa Mhe. Sugu (kulia). Mshumaa ukiwashwa. Pichani juu ni taswira mbalimbali za sherehe ya siku ya kuzaliwa Mbunge wa Mbeya Mjini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MHE. SUGU AMLIZA FAIZA KORTINI!

Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa Joseph Mbilinyi ‘Sugu akiwa na mwanaye. BAADA ya Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuripotiwa kumfikisha mahakamani mzazi mwenziye, Faiza Ally, Juni 19, mwaka huu akitaka mahakama impe haki ya kumlea mtoto wao, Sasha (2), sakata limeisha...

 

10 years ago

GPL

FAIZA ALLY AWAJIBU WANAOULIZA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA MHE. SUGU

Picha aliyoweka Faiza Ally Instagram ya Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ akiwa katika pozi na mwanaye Sasha. MSANII wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, leo amewatolea uvuvi watu waliokuwa wakijiuliza maswali kuhusu mwanaye Sasha na na baba yake. Baada ya kuweka picha ya Sugu na mwanaye, Faiza Ally aliandika haya. Kupita akaunti yake ya Instagram, Faiza ameweka...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA. MHE.SHAMSI VUAI NAHODHA

" Karibu na asante kwa kuja kututembelea" Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika Ofisi za Tanzania Umoja wa Mataifa.Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI YA ZIARA YA MHE. MEMBE NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao alipokutana nae kwa mazungumzo kwenye Jumba la Mikutano la Kitaifa la China maarufu kama People's Great Hall mjini Beijing, China. Mhe. Membe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Mhe. Membe na Mhe. Yuanchao wakiendelea na mazungumzo. Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara...

 

10 years ago

GPL

TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO

Amani Temba 'Mhe. Temba'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka Kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.  Yamoto Band. Sherehe hiyo itafanyika leo saa 3 usiku katika Ukumbi wa Equator Grill ulioko Mtoni jijini Dar ambapo burudani zitashushwa kutoka kwa Tmk Wanaume Family, Tip Top Connection, Mashauzi Classic na Yamoto Band. … ...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

10 years ago

Bongo Movies

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

wema6

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Omar Mjenga amtembelea mhe. Modest Mero ofisini kwake

Balozi wa Tanzania wa Kudumu Umoja wa Mataifa Geneva, Mhe. Modest Mero akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania; Dubai, alipomtembelea ofisini kwake Geneva.Wote wawili walilitumikia Taifa kwa pamoja katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York.

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Angellah Kairuki amkabidhi Ofisi Mhe. Ummy Mwalimu leo

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi leo jijini Dar Es Salaam . kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lililofanyika Jumamosi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani