TATIZO LA MACHINGA LINATAKA BUSARA
![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmbriWqnlgsraQPKEd*lYLyTllXFUUbZo3n3clkEH7*gGx3JyCt-hBLwuMPel07*vWm80EZdVWlZKR6SZjmb4egl/machinga.jpg?width=650)
NINAWASALIMU kwa jina la Bwana Mungu, mwingi wa rehema na muweza wa kila jambo. Siku zote nimekuwa nikiwasihi kumuweka mbele muumba wa nchi na mbingu, kwani kwake hakuna lisilowezekana. Wagambo wakiwa kazini katika operesheni bomobomoa maeneo ya Posta mpya. Hivi sasa kuna kampeni kubwa ya kusafisha jiji kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Temeke na Kinondoni kubomoa vibanda vya biashara vilivyojengwa kinyume na taratibu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Hakuna mkakati thabiti wa kupunguza tatizo la Machinga
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Tatizo hatukuona busara ya majaji hawa mwaka 1994
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex
WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*qlVZiDayE6lY4xUsmqS4YkFZgXqpTg1BGYxKAFKejVpX2zPJ5S0YDZAeXN0TsmjWiH5jtu*G7vjaDAr-sLWqWC/kinana.jpg?width=650)
SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM
11 years ago
Mwananchi17 Jul
‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
10 years ago
Mwananchi29 Oct
‘Hatujengi Machinga Complex’
10 years ago
Habarileo07 Aug
Machinga wagoma kuhama Jangwani
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo maarufu kama ‘machinga’, waliohamishia biashara zao katika eneo la Jangwani wanaendelea na ujenzi wa vibanda pamoja na agizo la serikali kusisitiza kuwa wanapaswa kuhama eneo hilo.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Watetea Machinga kuondolewa Mbeya